Profesa Sospeter Muhongo Tazama ulivyochemka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Profesa Sospeter Muhongo Tazama ulivyochemka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAKOLE, Oct 21, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 600
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimesikia asubuhi ya leo katika kipindi cha mapitio ya magazeti ahadi ya Waziri wa Nishati na Madini Mh Prof. Sospeter kuwa mgao wa Umeme haupo na Hautakuwepo katika Tanzania hii.

  Kwanza atambue kuwa ahadi hiyo tayari watangulizi wake walishaitoa na waliishia kuaibika.

  La pili ni kwamba takribani kwa kipindi cha wiki moja sasa nipo katika wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, kwa kipindi hicho chote nilichokaa hapa nimeshuhudia Tatizo klubwa sana la kukatika kwa umeme, Karibu kila siku iendayo zake umeme unakatika. Kwa siku ya jana pekee, tar 20/10 umeme ulikatika mara 5. Leo tarehe 21/10, mara tu baada ya kipindi hicho cha mapitio ya magazeti umeme mahali hapa tayari umekatika. Naandika post hii saa 1 na nusu asubuhi hakuna umeme. Kwa hili profesa wangu umetokota vibaya.
   
 2. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hivi sana wanasingizia miundombinu mibovu! Nipo njiani kuelekea Mahenge Ulanga, ngoja nikajionee!
   
 3. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  huku nilipofikia mitaa ya kitangiri mza umeme haupo sasa hivi na kila siku unakatika jioni saa moja unarudi saa 5 usiku au na wewe prof. Ulikwenda oman ukaacha mambo yanakwenda kombo wizara haina rubani ,au umelishwa limbwata la ccm anza kuvaa magwanda ya kijani tujue moja
   
 4. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hivi sana wanasingizia miundombinu mibovu! Nipo njiani kuelekea Mahenge Ulanga, ngoja nikajionee na huko!
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,838
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  Hata ukiwa mtendaji mzuri lakini ukishakuwa ya ccm lazima uharibike
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Yadi yadi yadi
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Katika mashirika muhimu lakini hovyo kabisa ni TANESCO!!!! Labda waje malaika kuongoza ndiyo litabadilika.
   
 8. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,075
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nipo tabata sasa hv umeme hakuna toka saa 9 usiku mpaka muda huu ninavyo comment hapa.Ccm ni janga jamani.
   
 9. c

  chakochetu Senior Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila siku Wanaiangalia DAR ES SALAAM PEKEE YAKE,maeneo mengine katika nchi tathimini haifanyiki,ndio maana mpaka sasa baadhi ya mikoa bado wanategemea jenereta(mfano SONGEA).!!!
   
 10. T

  Tenths Senior Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nina wiki mbili nipo Maswa tangu nimefika hapa imekuwa ni ratiba umeme ukiwepo mchana basi mjue usiku haupo na kinyume chake ni sahihi. Je huo si mgao?
   
 11. n

  natangaduaki Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  leo hapa morogoro umeme umekatika asubuhi karibu saa nzima. hatujui hali ya mchana itakuwaje maana jana ulikatika pia
   
 12. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,453
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Jamani anachosema professor ni kuwa hakutakuwa na mgao rasmi utakaotangazwa na Tanesco au Wizara.Lakini mgao usio tangazwa utaendelea kuwepo na upo.Hilo ni kwa sababu mpaka leo hatuja ongeza generation sasa tutatatua vipi tatizo la umeme.Mgao utaisha vipi ikiwa kila kitu kiko vile vile?
  Ile ni kauli ya kisiasa nashangaa kuna watu wanaiamini.
   
 13. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukiona huyo 'dada wa mipasho' anasema jambo lolote, bac ujue kinyume chake ndo sahihi.
   
 14. controler

  controler JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1,537
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ninapoandika hii post umeme ndo kwanza umerudi!
   
 15. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 424
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  ni vema kuthamini juhudi za Prof Mhongo, na inshaalah siku zijazo hayo unayoyaona sasa ambayo mpk sasa mnayoona(lile kundi la kututengenezea mgao) watakapo ondoka kwenye maofisi yao maana kuna watu bado wanataka ashindwe,mtashindwa ninyi
   
 16. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,516
  Likes Received: 1,219
  Trophy Points: 280
  kule tanesco ni kama simba na yanga,wanajua fitina za kumharibia kiongozi mzuri! wako tayari kulihujumu shirika lao kwa kiwango chochote mpaka kiongozi huyu ang'oke,sijui wakoje mafundi wale.dawa ni total overhaul na kufanya ajira upya pale.ikiwezekana waruhusiwe wawekezaji wengine wafanyekazi sambamba na wao.kuna wafanyakazi wamejisahau mpaka wanadhani wanatugawia uhai watanzania na siyo umeme.
   
 17. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,453
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Uko right, huyu bwana na timu yake wamevuruga ulaji wa watu wengi sana Tanesco, kwa hiyo atapigwa vita sana. Kwa kuanzia ni kikao kijacho cha bunge atakapo lazimishwa kuomba msamaha kwa kusema uongo kama kamati ya Ngwilizi inavyopendekeza.
   
 18. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 990
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  mimi niko mwanza maeneo ya kirumba, asubuhi hii umeme umekatika!
   
 19. k

  kafugugu Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata saivi maeneo ya kigoto mwanza umeme wmekata hii inaelekea wiki kila sku wakta muhongo kweli ni muongo amelishwa unga wa ndele ajitambui
   
 20. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,130
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
   
Loading...