Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara nyingi swali limeulizwa; kwa nini Tanzania ni masikini - na majibu mbali mbali yakatolewa. JK aliwahi kusema yeye hajui kwa nini Tanzania ni masikini! Balozi mmoja wa Germany hapa nchini ...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahisi majina ya mawaziri yalipopendekezwa kwa JK kuna mtu kama avile alibadili kwa maana JM alitakiwa awe waziri halafu huyu Makame.... Soma hii article ya BBC "Communication is everywhere...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
HONG KONG, ni sehemu ya China inayojitegemea na kujiendesha yenyewe. Ina bunge lake, mahakama na serikali yake. Mahakama za Hong Kong zinafanya kazi kwa uwazi mkubwa sana na hakuna rushwa...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Wao wanatorosha wanyama hai, wanapora pembe za Ndovu, wanaiba Gas na madini kwa mikataba feki, wanapeleka Pesa Uswiss, Watanzania tunakosa mikopo, too long to mention....... you can add. Nashauri...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Tabora ndg.Kansa Mbarouk pamoja na viongozi wengine wa wilaya kama vile Saimon Lameck(m/kiti BAVICHA wilaya), Ally Iloyce(k/tibu mwenezi wilaya) na mwenyekiti BAVICHA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Musoma mjini(CHADEMA) Vicent Nyerere ataongoza kampeni za kumnadi mgombea wa udiwani wa chama chake na kufunga kampeni za chadema 27-10-2012. CCM wamezidi kupoteza mwelekeo hali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kufuatia kutoweka kwa Sheikh Farid na wafuasi wake kuvamia na kuharibu Ofisi za CCM jana huko Zanzibar, usiku wa jana, wafuasi wa uamsho wamemuua kikatili PC Said alipokuwa akitoka kazini...
2 Reactions
334 Replies
43K Views
Asante Kikwete, umetufikisha ulipokusudia Josephat Isango ILIKUWA ni kama mzaha, lakini sasa ni kweli. Ilikuwa ni kusimuliwa kuwa yanatokea nchi jirani, lakini sasa...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Mkapa, JK walipuliwa na Sitta Tumma, Mwanza Tanzania Daima CHAMA cha Alliance for Demokratic Change (ADC), kimewalipua Rais Jakaya Kikwete na mtangulizi wake, Benjamin Mkapa, kwa madai...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
A constitutional review that is underway in Tanzania may lead to the passage of a bill that would enable Omanis who have roots in that country avail dual citizenship, according to President Jakaya...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Yawezekana sina kumbukumbu nzuri kama nasi tayari tunacho kiti kama hicho katika umoja huo wa kimataifa, lakini swali la msingi ni, Je, Rwanda imepita vigezo gani na kushinda nchi nyingine za bara...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sherehe za maazimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu J K Nyerere na mapokezi ya uzimaji mwenge ni matukio makubwa yaliyojiri mwishoni mwa wiki hii mkoani Shinyanga kwenye manispaa ya Shinyanga...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
41 Chinese arrested in Ghana Global Times | 2012-8-27 | By Ling Yuhuan Diplomats at the Chinese embassy in Ghana have visited a group of 41 Chinese nationals who had been detained for allegedly...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Kampeni za udiwani kata ya Mwawaza manispaa ya Shinyanga mjini jana iliendelea kwa katibu mkuu wa CDM mh. Wilboard Peter Slaa kumsimamisha mgombea wa udiwani kupitia CDM mh. Anthony Peter Mhola...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
mh rais amerud, tunaomba awatazame watu wake kwa macho mawili UPDATE Msafara wake umeongozana na makamu wa rais na IGP na ndio waliompokea Airport. sijui IGP ana maagzo gan ila natumaini JK...
1 Reactions
131 Replies
12K Views
Mameneja 29 Tanesco wameshimamishwa kazi baada ya kuhusishwa kuhujumu utendaji wa shirika hilo kwa kuunganisha umeme kinyume cha utaratibu, wizi wa mafuta ya transfoma na nyaya za umeme. Meneja...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuwe na mdahalo wa wa wagombea wa urais ili wananchi waweze elewa nani anauwezo wa kuwaongoza na nani yupo kwa sababu kawekwa na rafiki zake. Tupendekeze midahalo mitatu kabla ya uchaguzi na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naibu waziri wa Aridhi na mbunge wa Arumeru magharibi mh Godluck Olemedeye ashindwa kumnadi mgombea wa chama cha kwenye kampeni zinazoendelea jimboni kwake. Hii inatokana na watoto kumzomea na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kumekua na vijana wachache tena wanajiita wasomi wenye ndoto zakua viongozi baadae, kupitia chama cha magamba na kubeza CHADEMA lakini wamesahau kuwa ili baadae uwe kiongozi kupitia chama cha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom