Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

My President abstains from being used to set political scores by Kenyan politicians! Why so? we r not sure come March 2013 who will be the President of Kenya and aligning with the Presidential...
1 Reactions
0 Replies
750 Views
Chaguzi zote za CCM zimejaa vitimbi ambavyo ni kinyume na usajili wa vyama vya siasa. Mifano michache ni: UWT - matusi, rushwa; UVCCM vivyo hivyo; kule Dom vivyo hivyo na mibastola nje nje. Sasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni Mkutano wa hadhara unaofanyika Chamwino ni wa kutoa shukurani kwa viongozi wa ccm waliochaguliwa katika chaguzi za wilaya, mikoa zilizomalizika hivi majuzi, Kati ya viongozi waliochagulia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau tunajadli katiba mpya kipindi hii ila naomba kuwasilisha hoja ja kuona ile nembo ya taifa nayo kama inahitaji mjadala naona kama haiendani na karne hii, naomba kuwasilisha!:embarassed2:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Yule kiongozi wa kikundi cha UAMSHO Z'bar na wenzake leo wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kutoa maneno ya uchochezi na kusababisha vurugu ambapo hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo...
5 Reactions
62 Replies
8K Views
SERIKALI imewafukuza kazi watoto wa vigogo waliopata ajira bila ya kufuata taratibu za kisheria katika mizani inayosimamiwa na Wakala wa Ujenzi wa Barabara(Tanroads). Hata hiyo imekuja siku...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Profesa Alexander Nyangero Songorwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi waIdara ya Wanyamapori (Wildlife Division ) kuziba nafasi iliyokuwa wazi.Kabla ya kuteuliwa Profesa Nyangoro alikuwa Profesa Mshiriki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mr makongoro mahanga sisi na wapiga kura wako watabata kagibu na chuo cha sent mary hii barabara imekua shoti kati sana kwa watu wanao enda mawezi ama segerea je nilini utatukumbuka kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sunday, October 21, 2012 Nape Nnauye, Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi akiweka jiwe la msingi katika ofisi mpya ya CCM ,Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro tarehe 20/10/2012 Wananchi wa kata...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Na Aloys Rugazia Jumapili asubuhi ya tarehe 14/10, ninaamka alfajiri na mapema nakujiweka sawa kwaajili yakuanza siku hii muhimu, ni baada yakuota ndoto za ajabu ajabu usiku kucha, ndoto...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
KUTOKA FB kwa wall ya Deo KISANDU;Kuna mbunge mmoja anatoka mkoa wa Tabora ananionea gere mimi kutaka kuwa Rais wa nchi hii, akijifanya yeye kafanya mengi, eti wengine wanaoibuka bila kutathimini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanabodi, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali kwa gharama pingamizi lilowasilishwa mbele yake na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willbrod...
2 Reactions
212 Replies
17K Views
Watumishi waloajiliwa ktk halmashauli ya wilaya ya Bukombe Mkoa mpya wa Geita wamejikuta wakilazimishwa kuwa Wanachama wa mfuko wa jamii wa LAPF kutokana na shinikizo lililotolewa na mkurugenzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilisoma makala ya Jenerali katika gazeti lake la Raia Mwema na nikakumbana na neno la kiingereza la Uamsho,enlightment. Enlightment iliyotokea Ulaya illianzishwa na watu amabo walianza kutafakari...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Kamishna wa polisi ZNZ amesema kiongozi wa uamsho sheikh Farid hakutekwa bali alijifanya ametekwa ili kuanzisha vurugu zilizosababisha kifo cha askari. Pia amesema wamewakamata baadhi ya viongozi...
7 Reactions
139 Replies
17K Views
Tulikuwa na rais mkapa kiukweli alikuwa ni mkali na aliyeibinya democrasia, mfano wa kuminya democrasia ni kudumaa kwa vyama vingi, tulishuhudia magazeti mengi tu yakifungiwa. Kaja KK kaiachia...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Ndiyo wakuu! Habari zilizo nifikia muda huu ni kuwa mawaziri Mahanga na Kabaka wamelala mitini i.e. hawajatokea kwenye kikao cha kamati ya bunge ya huduma za jamii kilichokuwa kimepangwa kuanza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
MAKAMANDA WA M4C (MAGOMA Jr MAGOMA-MWENYE KOMBATI YA KAKI, HENRY KILEWO-MWENYE KOMBATI NYEUSI, KAMANDA LEMA, M/KITI TANGA NA DIWANI MTARAJIWA KATA YA TAMOTA STAMINA- (MWENYE SUTI) WAKIWE KWENYE...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Mh. Mnyika, Mkoani Mbeya wilaya ya Rungwe kata ya Kabula kijiji cha Mpata na nyingine imegunduliwa maeneo ya Isebe kilomita chache kabla hujafika Katumba kuna ujenzi wa visima unaendelea mpaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CDM Taifa Kamanda wa Anga Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Heche wameanza ziara ya siku 8 katika mikoa yote ya Kanda ya kusini. Lengo kubwa la ziara hii mbali na...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Back
Top Bottom