CCM: Waliofanya fujo Zanzibar ni wapinzani (CUF) na ndio waliochoma ofisi za CCM na kufanya vurugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM: Waliofanya fujo Zanzibar ni wapinzani (CUF) na ndio waliochoma ofisi za CCM na kufanya vurugu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Oct 18, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,375
  Likes Received: 8,504
  Trophy Points: 280
  Source AMKA NA BBC

  Kama kawaida yao Chama Cha Mapinduzi Zanzibar kimelaani vurugu zilizotokea jana mara baada ya kukamatwa Kiongozi wa Uwamsho Sheik Farrid na kusema waliofanya fujo hizo ni Wapinzani (CUF) wakiwa pamoja na kikundi cha uwamsho na kupelekea kuchomwa kwa ofisi ya CCM.

  Wakihojiwa na mwandishi wa BBC viongozi wa CCM wamedai wanaochochoe fujo hizo ni CUF wakiwa sambamba na kikundi cha UAMSHO. Na wakauliza iweje iwe ivyo wakati wapo pamoja katika serikali ya umoja wa kitaifa wakadai serikali ni kiini macho tu, CUF inatafuta matengano na wanataka kurudi kule kwa kwanza ili washike dora na wavunje muungano
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kama kawaida yao?!!
   
 3. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wanafiki wakubwa hao!
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ccm ndo wamepandikiza udini. acha uwatafune na huu ndo mwanzo mengi zaidi yaja. mia
   
 5. d

  delako JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 2,000
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Waarab wa pemba hao wanajuana kwa..................!!!
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Bara cdm...zenji cuf.
  Haya tena, waliyalea haya cha moto ndio hichooo wakiona.
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Huyo kiongozi aliyesema maneno hayo busara imemtoka na alikuwa akiropoka tu kwa kiwewe cha kuchomwa kwa ofisi ya CCM,mbona yalipochomwa makanisa hakusema ni wapinzani?
   
 8. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,378
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Naona mke ashaa anza vita ya kudai talaka!
   
 9. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sitaki kuwaingilia wanandoa hao, wanaweza wakaja kuyamaliza chumbani kwao.
   
 10. real thinker

  real thinker Senior Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Huu mwanzo tu tutasikia mengisa juu ya hawa makupe.
   
 11. w

  wifiyangu Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani huu sio muda wa malumbano ya siasa ni kutafuta soln ya kuwadhibiti hawa uamsho kwani ni tishio kwa taifa.
   
 12. C

  COMRADE CHRIS HANI Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....."wapinzani" ina maana pana zaidi ya cuf...!!na suala la kuuvunja muungano tayari umeshakuwa mpango ambao umewaunganisha wazanzibar wote!!!!(ndivyo mnavyotuarifu ndugu zetu wa unguja na pemba)...hicho kilichotokea jana nachelea...yaweza kuwa "dhambi" ya mpango wa kuwabagua "wabara" imeanza kuwatafuna...!!si mlionywa? (ingawa muonyaji hakuwa mzanzibar wala muislamu)...alas..na si huyo huyo (aliewaonya) aliwashauri (mwaka1995)...kwamba kwa mazingira ya siasa za zanzibar, serikali ya umoja wa kitaifa itatuliza mambo...mkakaidi...mkayaona mambo...miaka kadhaa baadae.."likawashuka"...mkafanya lile lile "alilowashauri" mwaka 1995...na likatuliza mambo...."sasa namna lilivyotimia la serikali ya umoja wa kitaifa kutuliza mambo....(mungu awanusuru)...na atunusuru na ss wa "bara pia"...la "kutimia kwa dhambi ya ubaguzi dhidi ya wabara (tena na tena...mungu awanusuru, atunusuru na sisi sote pia)...liko njiani kutimia...!....hadeeth inatufundisha kuitafuta ilmu "ikibidi" hata uchina...na ilm (ingawa si ya uchina) yatufundisha kwamba.."lips of righteous teaches many, but fools die for want of wisdom"...mnataka nini ndugu zetu wa zanzibar? "ilmu ya arabuni tu"...(ya deen masha allah...si haba)...hamtaki ilm ya bara? ya afrika?....kuna nafasi gani ya kuelewa somo tukufu la kwenye qur'an na hadeeth na sunna za bwana wetu mtume (s.a.w)...iwapo tunashindwa kuelewa somo rahisi toka kwa wenye "kuelewa" dunia...(na hila zake za kidunia)?.....tahadhari...
   
 13. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Yaani ni waongo wakutupwa.........Maana ukweli hawasemi kua wakati wanachoma moto askari walikua wanafanya nini nyuma yao..Mbona wanafiki sana
   
 14. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Naukumbuka sana ule Mtandao wa Ze-Uchungu.
   
 15. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,173
  Likes Received: 1,257
  Trophy Points: 280
  pambaf ZNZ CUF! bara CDM go to hell!! Yalipochomwa makanisa ni nani alifanya hivyo? Nyie bwabwajeni kama bwabwa toto si riziki!! yamewafika sasa!! Fimbo ya Bwana haitawaacha hadi mtakapo tubu!!
   
 16. N

  Ndonya Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ilo ndo la msingi huu mtindo wa kila jambo kuingiza siasa utatugalimu, serikali iangalie namna ya kutatua tatizo sio kulalamika tu, vunja mizizi ya uamsho ikiwemo kufuta usajiri wao.
   
 17. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wameona aibu wameisingizia CUF,nina uhakika ingekuwa ni huku bara wangesema ni CDM.
  Tendwa uko wapi ukifute CUF kama ulivyosema kuwa chama kitakacholeta vurugu utakifuta.
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hawa si wana ndoa hawa na CUF..au ndoa imevunjika jamani
   
 19. simba45 mkali

  simba45 mkali JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 1,995
  Likes Received: 1,843
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hyo mkuu....
   
 20. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  Mwisho wa siku dini yangu ya kiislamu itaepuka haya matope na propaganda za vurugu zinazonasibishwa nazo
  ukweli utadhihiri na hatimae pumba na mchele zitajitenga
   
Loading...