Ujumbe kutoka kwa RPC Dar ni wa kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe kutoka kwa RPC Dar ni wa kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiwi, Oct 21, 2012.

 1. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi,

  nimekutana na ujumbe huu kwenye facebook. Sina hakika kama kuna ukweli wowote bali ninaomba kuuleta jamvini. Kama kuna anayefahamu authenticity yake labda atusaidie kufafanua. Binafsi sijasikia mahali pengine popote taarifa inayofanana na hii.

  PUBLIC NOTICE
  ; please be aware due to the current state of chaos the Regional police commander RCP, has cautioned all citizen to be extra careful and to abstain from going around after 8pm. As looting, robberies, and violent assaults are planned for ordinary citizens. Jeshi is going to be extra vigilant for Public precaution. Please forward to friends and families affected by this in Dar-Es-salaam Area
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  mmmh nimeushtukia hauna ukweli huu Mpwa
   
 3. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160

  Nashukuru Mkuu, hata mimi sikuwa naamini, lakini nikaona ni vyema niulete humu, huenda nilipitwa na ulishatolewa hadharani ujumbe kama huu.

  Binafsi kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya inaelekea hauna ukweli. Hiyo uliyoiwekea maandishi mekundu RCP nimeiweka hivyo hivyo ilivyowekwa kwenye facebook.
   
 4. t

  tenende JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Taarifa haina ukweli. Ila hawa jamaa hawaaminiki!.. Utasikia wapo mtaani wanapambana na polisi, baada ya hapo vibaka wataingia kazini!
   
 5. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa mkuu
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Yasemayo yapo kama hayapo basi yanakuja chukua taadhari tu......
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Uongozi uliotukuka taarifa maalum zote hazipitishwi kwa njia ya mitandao, bali hutangazwa live kwenye vyombo vya habari. Haya ya vijiweni wewe au mimi tunaweza kutunga kitu na kukiweka tukaanza kuwahangaisha watu wakati mambo si hivyo.
   
 8. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,252
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Rcp hivyo ndio nani vileee
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Lugha ya taifa ni kiswahili huo ujumbe was it meant for foreignors and if yes how about the locals?
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  uwizi na unyang'anyi upo sio tu after 8pm ila hata mchana kweupe...tumeshaporwa na kuibiwa sana mtaani kwetu tumeshazoea polisi wameshindwa kazi so tumeamua kujichukulia sheria mkononi
   
 11. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  hapo penye red, ni nani? au nini?
   
 12. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hehe na Wewe utafikiri hujaelewa
   
 13. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Siamini kama Jeshi la Polisi linaweza kuandika taarifa kama hiyo kwa style iliyotumika.ACP Kova anakawaida ya kuita vyombo vya habari na siku zote hutimiza wajibu wake kwa kushirikiana na wenzake.
   
 14. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Halafu Kova wala hajui kiingereza!
   
 15. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Tafadhali mkuu,Kamanda Kova anafahamu japo anaenzi kiswahili Lugha yetu ya Taifa.
   
Loading...