Naombeni kujua zoezi hili la SENSA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni kujua zoezi hili la SENSA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by paul milya, Oct 21, 2012.

 1. paul milya

  paul milya JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wajameni tangu zoezi la kuhesabu watu kumalizika Mi binafsi sijawahi kusikia idadi yetu tuko wangapi!

  Mwenye kujua hebu atuanikie hapa jamani!

  JF BOMBA!
   
 2. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani lini kulikuwa na sensa?
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  bado zinapikwa takwimu mzee, sensa imefeli kwa zaidi ya asilimia 50 watu wengi sana hawakuhesabiwa, wanachokifanya ni incrimental estimates then mtaambiwa mpo milioni 46 au milioni 47.
   
 4. paul milya

  paul milya JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35


  bila kukosea ni mwishoni mwa mwezi wa nane kuelekea mwanzoni mwa mwezi wa tisa kabla ya mtihani wa std 7!
  Ama haukuwa Nchini nini mpigauzi?
   
 5. paul milya

  paul milya JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ama kweli Nchi yetu ni zaidi ya tujuavyo! Nashukuru kwa majibu PhD!  Ngoja weje na majibu yao!
   
 6. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hizi username nyengine humu (in red)!!! basi tu......
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Nchi hii ni ya usanii tu ili uweze kuishi mjini.
  Uliza Elnino iliyotangazwa imetokea?!
   
 8. paul milya

  paul milya JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu nawe umekumbuka nini tena??

  Jamani mbavu zangu!  Teh teh te te teeeee!
  Eti waliokuwa mabondeni wahame mara moja! Mpaka hivi hata dalili hakunaga!

  Nchi yetu wajani usanii utatupeleka pasipo stahili!
  Ila MUNGU yupo!
   
Loading...