Ni nchi gani za kiarabu zinasaidia bajeti za nchi masikini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nchi gani za kiarabu zinasaidia bajeti za nchi masikini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chinga boy, Oct 21, 2012.

 1. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hi wana Jf.Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa wenye ufahamu naomba mnijuze cos hizi ni nchi tajiri sana lakini naona misaada yao ni misikitini tu tofauti na nchi za ulaya ambazo zinatoa misaada hata ktk nchi za kiislam
   
 2. G

  GHANI JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Zinasaidia nchi za kiislamu kwa kua zinapata manufaa(mafuta,gesi).
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  irani....
   
 4. M

  Mtoto wa tembo Senior Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi zinasaidia kujaza waislamu ujinga kusoma madrasa na kuacha kusoma elimu dunia,matokeo yake ndio haya yanayojiri dar na zenji.wazanzibar wameambiwa wakivunja muungano basi zanzibar itakua kama dubai,wala hawajachukua muda kufikiri...hao mbio kwenda kuchoma makanisa.
   
 5. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wacha udini ndugu,na hiyo misaada sana sana inatulemaza mpaka tunashindwa hata kufikiri na kuongea masuala ya muhimu ya kujisaidia wenyewe.Tutasaidiwa mpaka lini wakati nchi yenyewe tajiri kama sio ujinga ni kitu gani.Unaona ufahari kusaidiwa na wazungu?Kwasababu hao waarabu hawajitangazii wakiwa wanatoa misaada ndio maana unaona hawatoi sio kweli.Hebu tuendelee na kazi tuache haya mambo yanatupotezea muda mwingi sana ambayo tungefanya mengi ya umuhimu.
   
 6. M

  Malekelo Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gluteal thinking
   
 7. n

  ngozimbili JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 823
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  Hakuna nchi inayosaidia nchi nyingine.kama unabisha kaulize libya iliyokuwa inatoa misaada leo inapewa misaada huku mabomba ya mafuta yakielekea kwa haohao wanaotoa misaada.poleni waafrika.
   
 8. G

  Gangi Longa Senior Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi huwa naonaga balozi za Falme za Kiarabu zikigawa tende kila kipindi cha mfungo! Ndio msaada ninaoujua toka kwao...
   
 9. K

  KITENGE KOFIA Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanafazil ugaid,,,,kuua ndugu zao wenyewe
   
 10. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  chukua mfano wa General Budget Support ( GBS) kwa Tanzania ambayo kwa mwaka huu wa fedha GBS inasimamiwa na Uingereza kupitia DFID ( Department of Foreign and International Development) , utagundua kuwa Nchi za Ulaya ndio wanaotusaidia bajeti, hakuna mwarabu mwenye msaada wa maana kwetu , ni uhuni kufanya ziara Oman na Dubai, tunachezea pesa za wapiga kura.
   
 11. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nchi yenu si mnashabikia kuto kujiunga na OIC sasa haya maswali ya nini?
   
 12. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
  mafunzo ya karate msikitini wanafadhili
   
 13. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Siku zote mtoto wa tembo hawezi akawa ng'ombe ng'o!!!!!
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  una maana mpaka mtoe 0655! Basi waarabu noma! Kwani hawa jamaa wa ulaya mmejiunga nao mpaka wanawapa misaada?

  Ponda anareflect mentality za kiarabu. Hatari sana.
   
 15. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa masharti yao magumu
   
 16. a

  amocha Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna siku hawa wazungu watawasaidia na wake zenu,mwapenda bure,mtu mzima wasifia misaada,utasaidiwa na mkeo
   
 17. u

  upangamkali Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ipo siku mtataka,musaidiwe wake zenu pia wapewe shuguli kwa kupenda ubwete
   
 18. A

  Akbar Akhtar Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwarabu akujengee shule au hospital badala ya msikiti?itakuwa ndo mwisho wa dunia; hakuna historia inayoonyesha utawala wa mwarabu kuacha mashule na mahosptal badala ya misikiti na madrasat, anaebisha aseme
   
 19. A

  Akbar Akhtar Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana waarabu wanatuletea TENDE na kanzu wakt wa ramadhan
   
 20. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,012
  Likes Received: 3,197
  Trophy Points: 280
  Kutoa misaada ya maendeleo ni mfumo kristu eti.
   
Loading...