peter kilawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

peter kilawe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Peter Kilawe, Oct 22, 2012.

 1. P

  Peter Kilawe Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mr makongoro mahanga sisi na wapiga kura wako watabata kagibu na chuo cha sent mary hii barabara imekua shoti kati sana kwa watu wanao enda mawezi ama segerea je nilini utatukumbuka kwa kuipanua nakuipiga lami ?
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Peter Kilawe unamuonea huyu kilaza Makongoro. Yuko bize kwenye kughushi shahada na kutafuta mshiko kwa kuliuza taifa letu. Mtaendelea kuteseka kwa vile jamaa hayupo kuwawakilisha nyinyi bali tumbo lake. Umenipata mwanangu? Uchaguzi ujao mpigeni chini aendelee na mishenitauni yake na rafiki yake na mghushi mwenzie Didace Masaburi.
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mshamaliza mitihan ya form four? Mwaka huu haiku- leak?
   
Loading...