Mpaka mwenyekiti wa CCM ngazi ya taifa kuongea hadharani kuwa rushwa imegubika chaguzi za CCM mwaka huu ukiwemo ule wa UWT, hii inaonesha kuwa ni kweli rushwa imetumika. Je, matokeo ya chaguzi...
Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe
--
JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limewataka wananchi kuepuka vurugu zinazohatarisha usalama, na kulinda amani iliyopo nchini
JWTZ imetoa kauli...
Mdahalo kwa wagombea uongozi hasa kwa nafasi za juu , ngazi ya kitaifa. naouna ni mzuri unaowapa wapiga kura nafasi ya kumtambua mgombea na ufahamu wake juu ya masuala...
Awali ya yote napenda kuwapongeza wana Jf kwa kuendeleza kile kinachoitwa "uhuru wa fikra",nimekuwa mfuatiliaji wa maoni katika jukwaa hili. Kwa mara ya kwanza najiunga na forum hii kama Mtanzania...
Basi ilikouwa limebeba wanachama wa chama cha mapinduzi kuelekea kwenye mkutano wa hadhara likiwa limeharibika vibaya na kusababisha majeruhi kadhaa na watatu kulazwa kwenye hospitali ya Huruma...
TANZANIA and Malawi plan to go back to the negotiation table on October 27, this year, in a bid to find an amicable solution to the border dispute that is currently threatening to jeopardize...
Ukweli ni kwamba matatizo ya uamsho Zanzibar yanasababishwa na ombwe la upinzani Znz. Baada ya CUF kujiunga serikali ya umoja, hakuna chama cha upinzani chenye nguvu Znz kutetea maslahi yao...
I doubt whether the other two presidents in East Africa can call a Press conference and encourage journalists to ask them questions they feel like asking in full public view (Television) without...
Kufuatia vurugu za siku nne mfululizo huko Zanzibar, hii leo Sheikh Farid pamoja na viongozi wenzake wanne wa kundi la uamsho wamefikishwa mahakamani kujibu mashataka ya kusababisha vurugu.
Ili...
Na Mwandishi wetu
WAZIRI Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika, ameeleza kusikitishwa na kauli za viongozi na watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na Shirika la Umeme nchini (TANESCO)...
Wimbi kubwa la kutojikomboa kifikra limeigubika Tanzania na watu wake hususani wanao ishi maeneo ya vijijini.Zinahitajika juhudi binafsi miongoni mwetu za kuweza kutumia vyema katiba yetu mbovu...
BBC SwahiliChama tawala cha kikomunistinchini China kitafaya mkutanowake mkuu wa baada ya miaka mitano kuanzia tarehe nane mwezi Novemba kufanyamageuzi makubwa serikalini ambayo yatawezesha...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Shinyanga, kimesema kelele zinazopigwa na wapinzani katika majukwaa, kwa lengo la kukikashifu na kukichafua chama hicho, ni sawa na dawa ya Kikombe cha Babu wa...
Jambo la kushangaza lilikuwa ni kulazimisha vijana wasijiandikishe kwa visingizio vya umri kama vile CCM ndio mama na baba wa Vijana wa Magadirisho. Mama mmoja amelalamikia kitendo cha Kada mmoja...
Zaidi ya Shilingi Bilioni 35.7 zikiwemo fedha za matumizi ya ofisi shilingi bilioni 5.7 na maendeleo Bilioni 30 zimetolewa hazina na kuingizwa kwenye tume hewa ya ushirika kwa kutumia voti namba...
Recently kuna mambo yanayozunguka CHADEMA yameenda too fast.Na mara nyingi CDM wamekuwa wakijiamini ktk chaguzi za mameya,hata pale madiwani wao wakiwa wachache zaidi.Na wana mifano hai ya ushindi...
I don't know what is going on here,sijatazama TV for at least seven days. Lakini sioni sababu yoyote why there should all this excitement,because a Church was petrol bombed. Haya ni mambo ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.