Waajiriwa wapya wa kada zote walazimishwa kuwa wanachama wa lapf bukombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waajiriwa wapya wa kada zote walazimishwa kuwa wanachama wa lapf bukombe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by oruguyo, Oct 22, 2012.

 1. oruguyo

  oruguyo Senior Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Watumishi waloajiliwa ktk halmashauli ya wilaya ya Bukombe Mkoa mpya wa Geita wamejikuta wakilazimishwa kuwa Wanachama wa mfuko wa jamii wa LAPF kutokana na shinikizo lililotolewa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo.hvy kujikuta wakipoteza haki yao ya kuchagua mfuko wanao utaka miongoni mwa mifuko iliyopo.Khali hii imewafanya baazi ya waajiriwa kutishia kwenda mahakamani nawengine kutishia kuacha kaz ili hali wengine wanatafta msaada wa khali na mali kutokana na kutokuwa na uelewa wa mambo kama haya ktk ajira, kwan inaonesha kuna kila khali ya kuwepo rushwa ktk suara hilo.
   
Loading...