Live updates: Mkutano wa CCM wilaya ya Chamwino

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Ni Mkutano wa hadhara unaofanyika Chamwino ni wa kutoa shukurani kwa viongozi wa ccm waliochaguliwa katika chaguzi za wilaya, mikoa zilizomalizika hivi majuzi,

Kati ya viongozi waliochagulia bado mfumo wa undugunaizesheni umeendelea kujiweka wazi kijana wa Samweli Malecela yumu ndani.

Magari ndo yanaanza kuleta watu kama kawaida ya ccm lazima watu wasombwe. Stay tuned picha na updates
 
Kuna mkutano wa viongozi wa ccm wapo wanawashukru wananchi kwa kuwachagua kuwa wajumbe wa NEC kama kawaida yao kusomba wananchi mabasi ndo yanawaleta sasa

>>>>>UPDATES>>>>

Samwel malecela kijana wa mzee Malecela yupo katika uongozi huo naona ndo anapanda jukwaani

>>>UPDATES>>>
Paka matope yaanza kuhusu viti maalumu vya chadema eti vinaenda kiundugu, hvi wananchi wapuuze sms zinazosambazwa kuhusu watoto wa vigogo kupata nyazifa ndani ya ccm
 
Hapo kwenye RED naomba ufafanuzi, sijakuelewa Samwel Malecela ni nani na Mzee Malecela ni yupi?
 
ni kweli mzee john samweli malecela ana mtoto wa kiume anaitwa samweli malecela, alimzaa nje ya ndoa na mwalimu mstaafu sasa 'anaitwa mama ndogowe' ,Ni mgogo wa kijiji cha mlowa barabarani kata ya mlowa tarafa ya makang'wa wilaya ya chamwino dodoma.
 
Ehh, hebu lete habari zaidi juu ya kipigo hapo kinavyotembea.

Hawa juzijuzi wamewapiga Chadema kwa mawe. Nilijua tu wataanza kuchapana wenyewe.

Senkyu veri machi.
 
ni kweli mzee john samweli malecela ana mtoto wa kiume anaitwa samweli malecela, alimzaa nje ya ndoa na mwalimu mstaafu sasa 'anaitwa mama ndogowe' ,Ni mgogo wa kijiji cha mlowa barabarani kata ya mlowa tarafa ya makang'wa wilaya ya chamwino dodoma.

Katika mada moja huko nyuma niliwahi kusikia jina hili likitajwa na Le Mutuz kukiri kuwa ni ndugu yake pale wajuaji JF walipoanika jambo lisilothitika kwamba familia ya Malecela ilikuwa inaendesha ule mtandao uliopogwa marufuku wa Ze Utamu. Au nimekosea si jina lenyewe huenda wana Malecela mwingine katija familia yao? Maana familia za kiafrika tulivyosheheni ndugu wengi hata wa kufikia balaa.
 
Back
Top Bottom