Mbowe aanza ziara kuongoza kampeni za udiwani Kanda ya Kusini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe aanza ziara kuongoza kampeni za udiwani Kanda ya Kusini.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Oct 21, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti wa CDM Taifa Kamanda wa Anga Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Heche wameanza ziara ya siku 8 katika mikoa yote ya Kanda ya kusini.

  Lengo kubwa la ziara hii mbali na kuimarisha chama ni kushambulia kata zote zinazofanya uchaguzi mdogo wa udiwani wiki ijayo.Kuna kata mbalimbali zitafanya uchaguzi mdogo wa udiwani katika mikoa ya kusini.

  Wakati Mbowe anajikita huko kusini,Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa amejichimbia kanda ya ziwa na kanda ya kati.Huku mjumbe wa Kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema akiwa anapambana kanda ya Kaskazini.
   
 2. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Good Do!
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli imetulia sana.Huu udiwani ni kipimo kizuri sana.
   
 4. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Raha ni kwamba huko vijijini watu wamefunguka pia Mkuu. Let's wait and see watavuna nini huko.
  Binafsi nategemea bumper harvest! Lets wait
   
 5. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hakuna kulala hakyamungu mpaka kieleweke.
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  pipoooooooooooooooooozi..............
  chademaaaaaaaaaaaaaaa..............
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Kamanda.Kwa ujumla tathmini ya kampeni mpaka sasa hivi ni nzuri sana.Tuzidi kumuomba Mungu.
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huku Lwenzera ccm wanapumlia kucha kamanda
   
 9. S

  SINDBARD Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makamanda inatia moyo nyumba ni msingi.hakuna kulala mpaka§§§§§
   
 10. i

  interprevist Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Good strategy.
   
 11. G

  Getwa Anicet Ally Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakibana m4c tunakuja kivingine! Wakati wapo bize wakipambana na uamsho na ponda sisi makamanda tunanadi sera zetu vijijini. Twanga kote kote mpaka kieleweke.
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongereni sana Kamanda.Kabeni mpaka penalti
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Aminia Kamanda.
   
 14. only83

  only83 JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nafarijika sana namna ambavyo Raisi wetu Dr Slaa na Kamanda wa anga, Freeman Mbowe wanavyojitolea kwa chama, nashangaa wapuuzi fulani kazi yao ni kukaa kutangaza nia ya kugombea tu nyadhifa ndani na nje ya chama bila kujitolea kwa chama. Mungu atawalipa makamanda hawa na historia ya CDM na Taifa hili itawakumbuka.
   
 15. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mgombea urais aliyetangaza nia yeye anaenda kushambulia wapi?
   
 16. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Anaendelea na kazi za Kamati za Bunge recently, ni shughuli muhimu pia kiuongozi
   
 17. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Maneno mazito haya.
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kamanda Molemo mimi langu moja tu, ulinzi wa vituo vya kupigia kura ili kuwadhibiti mamluki, hakikisheni mna copy ya daftari la kudumu la wapiga kura katika kila kata yenye uchaguzi. ccm wanachakachua sana, wanaleta mamluki wenye majina sawa na daftari lakini ukiangalia picha zinakuwa tofauti na iliyopo kwenye daftari.

  Baada ya hapo ni ulinzi wa kueleweka wa mabox yenye kura kwani hapo napo ccm wanaweza chochote kuingiza kura fake kama wamedhibitiwa kuingiza mamluki wakati wa zoezi la kupiga kura. Hili nalisema kwa uzoefu nilioushuhudia katika uchaguzi mdogo wa udiwani Vijibweni Kigamboni.

  Otherwise nawatakia safari njema sana huko mikoa ya kusini, sina shaka kwamba mkizingatia tahadhari hiyo na kuchukua hatua stahiki, basi tunachukua kata zote 29 zinazofanya uchaguzi jumapili ijayo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Zitto kabwe amejichimbia wapi?
   
 20. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wanapanga kutumia mamluki kotoka sehmu nyingine na kuingiza kura feki, chungeni sana mawakala pandikizi.
   
Loading...