Uamsho au enlightment | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamsho au enlightment

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MIGNON, Oct 22, 2012.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Nilisoma makala ya Jenerali katika gazeti lake la Raia Mwema na nikakumbana na neno la kiingereza la Uamsho,enlightment. Enlightment iliyotokea Ulaya illianzishwa na watu amabo walianza kutafakari na kufikiri kwa kuzingatia ushahidi wa dhhahiri. Matokeo ya UAMSHO wa Ulaya ni watu kuacha kuamini mambo ya kijinga yasiyokuwa na ushahidi kama vile Uchawi lakini athari ingine ni kupunguza mahaba na dini,kwani dini ni imani na wakati mwingine hakuna ushahidi wa dhati wa baadhi ya mambo. UAMSHO wetu unahubiri kuvunja Muungano au kwa maneno mengine kutudhoofisha na pia kutia watu hamasa ambayo haina tija. Matatizo ya sisi Waislamu hayatamalizwa na kuvuruga amani,kuharibu mali za Waislamu wenzetu na kutia hofu katika jamii. Naamini inawezekana UAMSHO wana hoja ambazo wangweza kuzitatua kwa kutumia fursa zilizopo. Huku bara kuna misikiti ambayo ukienda sala ya Alfajri hata watu kumi hawafiki,UAMSHO njooni huku mtuamshe ili tufuate dini kwa ukamilifu wake.
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,760
  Likes Received: 6,066
  Trophy Points: 280
Loading...