Wadau,
Naomba kujulishwa, M4C imesitishwa kwa muda ama CDM wamenywea kwa policcm? Maana baada ya kifo cha D.Mwangosi walisema wageendelea na ratiba kama walivyokuwa wamepanga. Kumetokea nini...
Katibu mkuu wa chama cha wananchi cuf maalim seif sharif hamah Amedai kuwa chanzo kikuu cha migogoro ya kijamii ikiwemo ya ardhi na mizozo ya kidini inatokana na kutokuwepo kwa mikakati imara ya...
Baada ya jana kufanya mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Bugarama, leo anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara pale KAKOLA, mji uliojaa wachimbaji wa madini, ukitembea katika mitaa yote ya Kakola...
Kwanza nianze kwa kumwelezea waziri ni nani? Kwa kadri ninavyofahamu mimi waziri ni Mwanasiasa. Waziri ni Kada wa chama chake. Waziri ni shabiki wa chama chake. Waziri ni MNAZI wa chama chake...
Govt Applies for U.S. $215 Million Funds
BY LEONARD MAGOMBA, 23 OCTOBER 2012
Dar es Salaam Tanzania has applied for $215m financing from the World Bank to open-up Dar es Salaam corridor as well...
tutegemee nini watanzania safari hii?kwanza tayari waziri wa nishati na madini kaishaanza kutoa msimamo kuwa hataomba radhi kwa bunge wakati kikao kikianza baada ya tetesi kuvuja kuwa kamati au...
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.
Juzi ...
Written by Dullonet|October 23, 2012|
MAHAKAMA kuu kanda ya Arusha, imemwachia huru aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Arusha mjini Gervas Mgonja pamoja na watuhumiwa wengine wawili, baada ya...
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA John Mnyika amembana Rais Jakaya Kikwete nyumbani kwake Bagamoyo kuhusu utekelezaji wa ahadi za CCM za maisha bora kwa kila mtanzania, wanawake kuwezeshwa...
Hii ni habari ya muda mfupi uliopita.
SMZ imepiga marufuku vipindi vya Uamsho vilivyokuwa vinatangazwa na Sauti ya Tanzania Zanziba a pia katika Radio nyingine zote. Mods kama Hii barua...
Chadema inaendeleza mchakamchaka huko Arumeru Magharibi zidi ya chama cha Mabwepande hii ni moja ya picha ya mikutano ya kati mitaa ya Bang'ata, mashambulizi yanaongozwa na Kamanda Nasari...
Hii ni kali sijawahi kuona,mwenyekiti wa ccm akiwaeleza vijana wa chama kuwa moja ya kanuni zao ni kushinda uchaguzi,hii imenipa wasiwasi sana na kufikiria mbali sana kwani wamekuwa wakitumia...
Nimemsikiliza kwa makini Mh. Waziri Mkuu Mstaafu kwa heshima (si kwa kashfa ya kutuibia wananchi), Mh. Fredrick Sumaye akieleza kwamba rushwa ndani ya chaguzi za CCM si tatizo jipya ispokuwa la...
ICC: Uhuru takes TNA, URP team to Kikwete
Updated Monday, October 22 2012 at 00:00 GMT+3
By Peter Opiyo
The Hague case against four Kenyans featured at a meeting between Mr Uhuru Kenyatta and...
Kuhusu aina ya vijana aliotaka kuona, Mwalimu Nyerere alisema: Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini; si vijana waoga, akina ndiyo bwana mkubwa; vijana wenye ujasiri...
Wakuu kuna habari zenye ukweli, sasa Uamsho wamekuja na style ya Mafia Zanzibar ya kuwamaliza wale wote maadui wa Zanzibar na UIslamu, kwa hiyo lipo kundi la watu wanaranda na gari jeupe lenye...
Amesema kama serikali hatupo tayari kusubiri watu wauwane ndipo tuseme tukae chini,inatosha na wapo tayari kukaa kimazungumzo na taasisi za kidini.
My take: kauli kama hii ilitakiwa mapema mnoo...
kuna yule jamaa Manumba aliyewaambia polisi kulipiza kisasi,naomba kama wameweza kulipiza au wanaendelea kuwabana mapumbu watuhumiwa kama kawaida yao??naomba kujua nini kinaendela Wakuu
KAMBI ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa imeendelea kuyanyanyasa makundi mengine ndani ya CCM, ambayo yamekuwa yakijipanga kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.Kambi ya kiongozi huyo ni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.