Je, watanzania tuna matatizo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, watanzania tuna matatizo gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiboko ya washamba, Oct 22, 2012.

 1. K

  Kiboko ya washamba Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tulikuwa na rais mkapa kiukweli alikuwa ni mkali na aliyeibinya democrasia, mfano wa kuminya democrasia ni kudumaa kwa vyama vingi, tulishuhudia magazeti mengi tu yakifungiwa.

  Kaja KK kaiachia democrasi ichukue nafasi yake na ndio maana hata jamii forum ipo, mpaka waimba hip hop nao wabunge lakini si hivyo tu angalia CHADEMA kimekuwa ghafla na ni maendeleo ya democrasia lkn watu wenye short vision hawaoni maskini, kz ni kulaumu tu kila kitu JK.

  Angalia znz ukiondoa hawa vibaraka wanaoendekeza ubora wa mtu rangi sasa wamejumuishwa serikarini lkn bado hawariziki......na nina imani hata Tanganyika baada ya uchaguzi wa 2015 nako kutakuwa na serikali ya umoja wa kitaifa ili angalau ulafi upungue.

  MAtokeo ya haya yote kuna mtu nyuma yake ni si mwingine JK.
   
 2. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona hata Kiswahili kinakushinda? Unamtetea rais ambaye ni kiguu na njia wala hajui yanayojiri nchi aliyopewa dhamana kuiongoza? What a joke!
   
Loading...