Tendwa tenda basi?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Chaguzi zote za CCM zimejaa vitimbi ambavyo ni kinyume na usajili wa vyama vya siasa. Mifano michache ni: UWT - matusi, rushwa; UVCCM vivyo hivyo; kule Dom vivyo hivyo na mibastola nje nje. Sasa mbona utendi uliyoyasema wakati wa kifo cha marehemu Mwangosi? Au hilo jina lako linaendana na kushindwa kutenda?!
 
Usimuulize Tendwa muulize karani wake, maana watz walisema ni mara mia waongee na karani wake ila sio Tendwa kwa sababu hana akili.
 
Tendwa ni kada wa CCM.
Hayo masuala wanayaongea ndani ya vikao vya chama.
 
Chaguzi zote za CCM zimejaa vitimbi ambavyo ni kinyume na usajili wa vyama vya siasa. Mifano michache ni: UWT - matusi, rushwa; UVCCM vivyo hivyo; kule Dom vivyo hivyo na mibastola nje nje. Sasa mbona utendi uliyoyasema wakati wa kifo cha marehemu Mwangosi? Au hilo jina lako linaendana na kushindwa kutenda?!

...usipoteza muda wako kutegemea huyo mzee asimamie haki...hapo kwenye ofisi za msajili wa vyama vya siasa yupo tu kama msukule...TEDWA kwa sasa kama ulikuwa hajui ni kaimu katibu mkuu wa CCM...
 
Hana ubavu wa kuisemea mbovu CCM, na hilo ndilo zao la vyeo vya kupeana!
 
Back
Top Bottom