Mbunge wa CCM mkoa wa Tabora aumbuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa CCM mkoa wa Tabora aumbuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Clara, Oct 20, 2012.

 1. B

  Baba Clara Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KUTOKA FB kwa wall ya Deo KISANDU;Kuna mbunge mmoja anatoka mkoa wa Tabora ananionea gere mimi kutaka kuwa Rais wa nchi hii, akijifanya yeye kafanya mengi, eti wengine wanaoibuka bila kutathimini hawana maana, nimemfuatilia hoja zake kwa mitandao nikagundu anafikra finyu na hofu niliyo isema kuwa sasa hatutaki rais aliyewahi kuwa mbunge wala waziri, tunataka kitu fresh kama KISANDU. Hoja yake niliisikia pia Startv baadhi ya wanasiasa wakisema vijana wasikurupuke, kumbe ni mewachoma walifikri ubunge ndio kipaji.Moto uwake, jua liungue Urais nitaupata
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Am lost msaada tafadhali mlio mwelewa huyu mtu wa Tabora
   
 3. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Wanawashwa hao
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Tunaomba mlipie pesa ya matangazo kwanza kama mnataka kujitangaza kupitia JF.
   
 5. y

  yaya JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndicho kitu gani hicho wakuu, mbona sijaelewa? Au ndicho kiswahili kigumu?
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,519
  Likes Received: 10,436
  Trophy Points: 280
  majungu ya mitaani mnakuja kutapikia jf.!
   
 7. q

  querauk Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kajipange vizuri hujaeleweka bado
   
 8. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Unanikumbusha enzi za
  ~ ukuti
  ~ kombolela
  ~ msita
  ~ monjo
  ~ kavu n.k

  sijakuelewa kabisaa kacheze michezo hiyoooooooooo kwanzaa

  V
  SENGEREMA
   
 9. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Kisandu Urais sio ubalozi wa nyumba kumi tofautisha, jenga chama acha longolongo za kitoto!!
   
 10. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Eleweka mkuu, hatuhitaji mafumbo mafumbo hapa.
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kigwangala awe rais? Walaaniwe wote waliosababisha kikwete awe rais (iwe kihalali au kwa haramu) maana ndio walioleteleza watu kuamini kuwa any f.o.o.l can be a president of this country!
   
 12. m

  mdunya JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  aiseeh!!
   
 13. P

  Ponera JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  am totaly comfused, sijaelewa kabisa hadi nahisi wewe umeelewa kidogo unaweza nifafanulia
   
 14. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Be open pls
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  tupe tafasiri mkuu
   
Loading...