Safari ya ukombozi yawasili mkoani Tanga, Lushoto, Soni, Bumbuli,Ni kamanda Lema, Kileo na Magoma

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
MAKAMANDA WA M4C (MAGOMA Jr MAGOMA-MWENYE KOMBATI YA KAKI, HENRY KILEWO-MWENYE KOMBATI NYEUSI, KAMANDA LEMA, M/KITI TANGA NA DIWANI MTARAJIWA KATA YA TAMOTA STAMINA- (MWENYE SUTI) WAKIWE KWENYE HARAKATI ZA KUSAMBARATISHA NGOME YA JANUARY MA KAMBA KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KATA YA TAMOTA, ILI KUFIKA KATA YA TAMOTA TULIPITA BARABARA YA VUMBI UMBALI WA KM 85 KUTOKA SONI (LUSHOTO), KISHA TUKATEMBEA KWA MIGUU KM 6 ILI KUFIKA KIJIJINI ALIKOZALIWA MZEE YUSUPH MAKAMBA
 
Itachukuliwa kama kawa when changes comes inakua kama mvua inakumba kila sehemu haijalishi ni ngome ya CCM au la

M4C no excuse no apology mpaka ukombozi kamili mwaka 2015
 
Hongereni makamanda wetu,kazeni buti mum'nyuke huyo mbunge laptop na muosha kucha saloon ya salama jabri mpaka ajampe....Aluta continue!!!
 
makamanda wa m4c (magoma jr magoma-mwenye kombati ya kaki, henry kilewo-mwenye kombati nyeusi, kamanda lema, m/kiti tanga na diwani mtarajiwa kata ya tamota stamina- (mwenye suti) wakiwe kwenye harakati za kusambaratisha ngome ya january ma kamba katika kampeni za uchaguzi mdogo kata ya tamota, ili kufika kata ya tamota tulipita barabara ya vumbi umbali wa km 85 kutoka soni (lushoto), kisha tukatembea kwa miguu km 6 ili kufika kijijini alikozaliwa mzee yusuph makamba

leo ndio nimeamini chadema iko frustuated..!!!
People like lema ana ushawish wa aina gani kwa umma wa wenye fikra chanya??
Wale wala viroba wa arusha kawashindwa kuwapatia tumain sembuse hawa wagosi???
Lema pumzike ulime sasa ndugu yangu
kwani ni lazma uwe mbunge au mwanasiasa??
Tuliza moyo wako lema,kubali mapungufu yako,
rahisisha mahitaji yako kwa sasa,pia uchunge tamaa mbaya lemaa..
 
daa kweli ni ndani sana huko makambanda, hongereni sana Lema yupo hapo sinashaka kabisa atawapa ujasiri sana na elimu ya kutosha, Mungu awape nguvu.. ngoja nitupie ka mpesa kangu katika liaccount la chama ili makamda wapige kazi wakiwa na nguvu, MUNGU AWABARIKI SANA, SIO WAPUUZI FULANI WANAOWAZA URAIS TU WAKIWA LUMUMBA HUKU WAKIJIFANYA NI CDM
 
WAJINGA NDIO WALIWAO,,UNATUMA M-PESA WENZAKO WANAWANUNULIA VIPODOZI MADEM ZAO
INASIKITISHA SANA,SI BORA UNGEITOA SADAKA NA KUSAIDIA MASKINI
ILA MIAFRIKA SI NDIVO ILIVOO,,
POA BADAE...:bolt:
 
leo ndio nimeamini chadema iko frustuated..!!!
People like lema ana ushawish wa aina gani kwa umma wa wenye fikra chanya??
Wale wala viroba wa arusha kawashindwa kuwapatia tumain sembuse hawa wagosi???
Lema pumzike ulime sasa ndugu yangu
kwani ni lazma uwe mbunge au mwanasiasa??
Tuliza moyo wako lema,kubali mapungufu yako,
rahisisha mahitaji yako kwa sasa,pia uchunge tamaa mbaya lemaa..

ungenjua lemaa kwao au jinsi alivyoo ungesemaaa tuu jamaaa hanaaa shida kwa jambo lolote ila mafriends lema yuko kwa ajil ya ukombozi wa wajukuuu wako ambao hawajui ya kesho watakula nini? so jaribu kuja na aina nyingine ya hoja
 
WAJINGA NDIO WALIWAO,,UNATUMA M-PESA WENZAKO WANAWANUNULIA VIPODOZI MADEM ZAO
INASIKITISHA SANA,SI BORA UNGEITOA SADAKA NA KUSAIDIA MASKINI
ILA MIAFRIKA SI NDIVO ILIVOO,,
POA BADAE...:bolt:

sijakuelewa ...inaamaana tusilipe kodi kwa sababu jk anapanda ndege kwa kodi zetu kwenda us kupiga picha na fifty cent? au
 
Tupo nanyi makamanda. CCM Masalia haina aibu; miaka hamsini ya uhuru na bado hakuna barabara za kufikia baadhi ya vijiji?

Sasa wanataka waendelee kutawala ili kiweje?
 
leo ndio nimeamini chadema iko frustuated..!!!
People like lema ana ushawish wa aina gani kwa umma wa wenye fikra chanya??
Wale wala viroba wa arusha kawashindwa kuwapatia tumain sembuse hawa wagosi???
Lema pumzike ulime sasa ndugu yangu
kwani ni lazma uwe mbunge au mwanasiasa??
Tuliza moyo wako lema,kubali mapungufu yako,
rahisisha mahitaji yako kwa sasa,pia uchunge tamaa mbaya lemaa..
Wewe! Humjui Lema, nenda ukamsikilize kama hukukomboka kifikra, naona za kwako zimegandamana na magamba.
 
hayo ni maneno ya mkosaji!! wewe mi janga la kitaifa!!

Back
Top Bottom