Viongozi wa Uamsho wafikishwa Mahakamani Zanzibar

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=4][/h]
Kufuatia vurugu za siku nne mfululizo huko Zanzibar, hii leo Sheikh Farid pamoja na viongozi wenzake wanne wa kundi la uamsho wamefikishwa mahakamani kujibu mashataka ya kusababisha vurugu.
Ili kufahamu yaliyojiri Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wetu wa Zanzibar, Salma Said, ambaye yuko mahakamani hapo akifuatilia kwa ukaribu kesi hiyo.
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
.
Mwandishi: Grace Patricia Kabogo
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

AUDIO | DW.DE
 
Back
Top Bottom