Polisi wanafanya fujo,Sheikh Ponda na Sheikh Farid ni harmless religious fanatics | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wanafanya fujo,Sheikh Ponda na Sheikh Farid ni harmless religious fanatics

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Andrew Nyerere, Oct 18, 2012.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,026
  Likes Received: 1,190
  Trophy Points: 280
  I don't know what is going on here,sijatazama TV for at least seven days. Lakini sioni sababu yoyote why there should all this excitement,because a Church was petrol bombed. Haya ni mambo ambayo watu wanaweza kuzungumza wakayamaliza. Yesu alisema yeye ni mwana wa Mungu,akasulubiwa. Sasa mtu akijiita Mwana wa Mungu anamdhuru nani? Sasa unagombana na watu kwa sababu wamekuuliza kwa censor haiulizi idadi ya waumini,kwa nini Serikali haina dini? Kwako wewe ni mambo madogo,lakini kwa wengine siyo jambo la utani.Sasa unawasumbua,unataka kujua kwa nini wanalalamika,kwani wao mitume au wao ni nani.
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Ungejua kwa nini wamekamatwa ungejua kwa nini wasingekamatwa mapema kabla hata hawajafikia hiyo stage waliyofika sasa
   
 3. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,552
  Likes Received: 624
  Trophy Points: 280
  Haya yote ni kazi nzuri ya kutukuka ya huu utawala duh..nchi Nyerere aliiacha ikiwa salama saiv waswahili wametuharibia nchi yetu kabisaaa
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  But what if they mobilize other group of people to do evil things?
   
 5. M

  Maliwaza New Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ulikuwa unataka kufikisha ujumbe gani haswa?? get you brain checked a..h..
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,815
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  waislam wanataka kuchua nchi, sijui watatawalaje? Maana mwenzao (yule waliyemchapa vibao) alidhani uchumi unakuzwa kwa ku print mahela meeeeeengi
   
 7. M

  MTK JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,569
  Likes Received: 2,368
  Trophy Points: 280
  Continue with your slumber; ukizinduka ndio utaelewa kwanini petrol bombing a church is not an issue any seroius minded person can afford to trivialize!!
   
 8. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  majina mengi ne bwana, PINDA< PONDA yaani hasara tupu
   
 9. y

  young prof Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Non sense
   
 10. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,342
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Point of correction Ndg Nyerere, we are talking of CHURCHES sio a church... Kama bado huoni tatizo then would advise you keep enjoying your slumber
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,336
  Likes Received: 991
  Trophy Points: 280
  Sijapata mantiki katika andiko lako..
   
 12. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,164
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Nashukuru kwa kukiri kua hujui kinacheondelea, kwania hata katika maelezo yako ni sawa na kwenda bafuni na kurudi umeoga bila hata kuvua nguo.
   
 13. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi tu ndugu yangu maji yameigia uchafu na hayachujiki labda yamwagwe yote na yatekwe mengine masafi.

  Hali si shwari kwa waisilamu
  Hali si shwari kwa wakristo
  Hali si shwari kwa Zanzibar
  Hali si shwari kwa Dar
  Hali si shwari kwa Tanzania nzima

  Tuungane na kumuomba mwenyezi mungu atunusuru watanzania wote
  Amen
   
 14. O

  Ochutz JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  the Govt has been doing evil things, so who to blem? Them.
   
 15. m

  majege Senior Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tumefika hapa kwasababu viongozi wa Tanzania wameshindwa kutimiza wabiju wao na badala yake wameingiza siasa kwenye kila jambo na mtaji wao wa kisiasa ndiyo gharama wanayolipa watanzania sasa. haingii akilini wakati watanzania wameshikwa na mshituko wa woga na wasiwasi juu hili linalondelea akina Ponda wala hawaoni haya kutoa matamko wazi wazi ya kujipongeza kwa kile walichofanya na kutishia kufanya makubwa zaidi, ama laa hilo halitoshi Ponda amekamatwa watu hawaoni shida kuandamana ili kushinikiza aachiwe huru. Najiuliza hivi sheria zimewekwa ili kumlinda nani?
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,615
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Magwangala

  Magwangala JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 1,761
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Usikose kuangalia kipindi cha matukio ya wiki ITV siku ya jumapili saa 12 na nusu,siku nyingine usiandike wala kuchangia kitu usichokijua!
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Sijaelewa unaongea nini/..........Nahisi ni Viroba vinaongea, sio wewe.
   
 19. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 1,928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mbona heading na story yako havioani? Sijakupata
   
 20. M

  MADORO Senior Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  viongozi wa nchi
   
Loading...