Je, chaguzi zote za CCM ni batili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, chaguzi zote za CCM ni batili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamayu, Oct 23, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Mpaka mwenyekiti wa CCM ngazi ya taifa kuongea hadharani kuwa rushwa imegubika chaguzi za CCM mwaka huu ukiwemo ule wa UWT, hii inaonesha kuwa ni kweli rushwa imetumika. Je, matokeo ya chaguzi hizo ni kutokana na rushwa? Kama washindi ni zao la rushwa, je sio washindi batili hivyo chaguzi inabidi zirudiwe?!
   
Loading...