Je, inawezekana CHADEMA wameweka mamluki wengi CCM zaidi ya CCM walivyoweka kwa wenzao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, inawezekana CHADEMA wameweka mamluki wengi CCM zaidi ya CCM walivyoweka kwa wenzao?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Apr 18, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Recently kuna mambo yanayozunguka CHADEMA yameenda too fast.Na mara nyingi CDM wamekuwa wakijiamini ktk chaguzi za mameya,hata pale madiwani wao wakiwa wachache zaidi.Na wana mifano hai ya ushindi ktk uchaguzi wakitoa angalizo KUWA KM SHERIA KURA NI SIRI WATASHINDA. Pia kuvuja kwa habari kwa kiasi kubwa hivi ni ishara tosha hadi uongozi wa kitaifa wa CCM upo vulnerable kwa CHADEMA.

  PIA CHADEMA wameonyesha wanao uwezo wa kuwa parayse mamluki wa CCM ndani ya CHAMA chao bila Kulumbana nao.
  Maswali yangu ni kwamba ni kwamba :
  -Je kuna haja ya kukiita hich kichama ni kidogo?Km uwepo wa wabunge wao wachache wanaweza leta changamoto kubwa sana.au tukiite chama chenye Ufanisi Mkubwa?

  - Je nani yupo salama CCM au vyama vingine anapojikuta ktk mechi na chadema?
  - Je hao mamluki wa ccm ktk vyama vingine wategemee nini kutoka baadaya ya kumaliza kazi waliyotumwa au hata kushindwa fanya km watakuwa paralysed.Km mambo yanakwenda too fasta hivi against chama tawala watajihakikishia vipi kuwa watakuta chochote cha maana ktk CCM tena?Ama ikifa au ikisalimika?

  - Najiluliza hao watu wanaopoteza hela nyingi kupatauteuzi kupitia CCM na baadae ktk jimbo ambapo watakutana na meno ya CHADEMA.Je wana kakika kujitosa ktk chaguzi kupitia CCM ni economical au cost effective tena?

  - Je hii ndio inathibisha nortion yangu kuwa.MAKANISA YALISEMA KIKWETE NI CHAGUAO LA MUNGU,BAADA YA UTENDAJI WAKE KUWA KM UNAVYOONEKANA WATU WAKAPIGA KELELE MAASKOFU WAKAWA NA MASHAKA.Ila mimi kila mara nasema hawakukosea kwani watu waliomba CCM ibomoke, na watu kupata uhuru wa kweli. Ninachojua ni kwamba hata Yohana mbatizaji alitabiri ujio wa Yesu,alimbatiza na kukiri,ila baadaye akiwa gerezani aliuma ujumbe kuuliza ni yeye kweli.Yesu akawaambia wamwambie yaliyokuwa yakitendeka. Kikwete aliulizwa (ingawa indirectly) na akajibu indirectly kwa kuchukua stance.(mwenye macho na aone,mwenye masikio na asikie)

  NAOMBA MAWAZO YENU.-Wapenda Conspiracy mnakaribishwa pia
   
 2. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Well said, mawazo mazuri na nayakubali....but we don't have to spend much time in thinking on what will happen to CCM and those who give us the information from CCM. Ukiona taarifa za ndani ya chama zinatoka hivyo ujue hata waliomo ndani yake wamechoshwa na chama hicho ndio wameanza kuondoka.....

  TOGETHER WE CAN BRING THE CHANGES WE NEED....YES WE CAN.....GOD BLESS CDM...
   
 3. D

  DNdaki Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Katika hali ya kawaida chini ya mfumo mmoja watanzania wengi walijikuta wakiipokea Ccm. Lakini kwenye mfumo wa vyama vingi lazima utarajie wapeda haki na usawa walokuwa wamebanwa na mfumo wa chama kimoja wakitoka na kutafuta vyama mbadala vyenye sera na milengo madhubuti kwao. Vivyo hivyo kuna wengine walokuwa after Maslahi kule Ccm na pengine nafasi hakuipata ya kumuwezesha kula/ kukwapua fedha akaamua kuhamia Upinzani kwa matumaini huenda akaneemeka.
  Inapotokea kule nako kakosa Maslahi, hapo ndo tunapata kitu minaitwa MAMULUKI.
  Hapo sasa lazima uelewe kutakuwa na Mamluki in ether sides lakini wingi itategemea na umakini wa viongozi wa chama husika depending on how strong the leadership is.....!
  Muhimu Cdm wawe makini tu na wawafanyie mahojiaeeno ya kina ili kuwajua kwa undani na pengine wakatoa siri za mapambano ili kuidhoofisha zaidi Ccm. Ni hayo tu mkuu....
   
 4. s

  sapal kihava Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ''CCM wamemaliza kazi ya kuwa chunguza wapinzani na sasa wameanza kujichunguza wenyewe na watakamatana uchawi wenyewe!
  ****HERI WALE WAUNGAO MKONO CDM.......KWAMAANA MATUNDA YA NCHI WATA YAONJA******
  ******** M4C IS NOW**************
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Outcry ya Shibuda inaonyesha fear, fear kwa viongozi wa CDM, via Kwa back Benchers, fear kwa wafuasi wa CDM ambao wapo tayari hata kuwatafuna viongozi wa CDM kuliko chama kiiachie CCM nchi, ana fear kwa Waliomtuma, ana fear kuwa by the time anarudi kwa waliompa assignment hatowakuta tena.

  Mbaya zaid Shibuda na wengine wanaojulikana vizuri wamepigiwa kimya, hawajui nini hatima yao hawajui km walichopata ni ni cha kweli au ni wamepigiwa double agent specific instructions. Hawana plan B, kwani mazingira si yake, na waliomtuma wapo confused na hawana mbadala kwani tayari CDM ni km wildfire. wenzake wengine wameanza pendezewa na upepo wa CDM, wengine wamebaki km sleeper cells but km hazina kufanya kazi, and things are aout of the ways.

  Kwanini SHIBUDA na wengine wasiamue buni mbinu ya ku accomodate masters wao?kwani soon hawatoweza zuia hasira za raia, CDM ni wildfire na si enzi ya Mrema na Marando (self destruction team).Shibuda ni kituko anogelea ktk kisiwa, keshawasha moto ila kwa vile hajui CDM watamfanya nini kawehuka, waliomtuma bado wanahisi alichokusanya hakitoshi, na jaribio la kujilipua na CDM halina hakika ya kufanikiwa.CDM wamempushi to the limits, ni km vile anajisikia kuhara na basi linahitaji kwende kwa masaa kadhaa kabla ya kufika ktk kituo. I like that.
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  ni kipindi kingine cha chaguzi za CCM.Ni kipindi kingine cha CCM kuthibisha hofu yao kwa maluki wa CDM kuliko wao makundi yao wenyewe.
   
Loading...