Utaratibu huu mzuri......CCM hawaupendi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu huu mzuri......CCM hawaupendi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sinafungu, Oct 23, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Mdahalo kwa wagombea uongozi hasa kwa nafasi za juu , ngazi ya kitaifa. naouna ni mzuri unaowapa wapiga kura nafasi ya kumtambua mgombea na ufahamu wake juu ya masuala mbalimbali , na kuamua ni nani anafaa. cha ajabu ni kwa nini Tanzania (ccm) hawaupendi ..........?
   
 2. T

  Thesi JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 998
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wanaogopa make wagombea wao huwa wadhaifu wasio na weledi ila wanapelekwa tu kwa kivuli cha chama.
   
 3. Super H

  Super H JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 1,004
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuendelea kujiita mwana ccm ni sawa na kujiita mchawi ,na kuwa na kadi ya ccm ni sawa na kuwa na irizi au uchawi na kutuletea habari ya ccm hapa tujadili ni sawa na kutuambia tujadili wachawi na uchawi!
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  wanaona wataumbuka, hii kwao ni hatari kwa muujibu wa gamba Makamba.
   
 5. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Elewa mada kisha ukurupuke vizuri.
   
 6. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Mtafute Tido Muhando akupe experience yake ya hii midahalo ya hapa kwetu.
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  yaani mfano unipe mdahalo mimi na lusinde?
  kudadadadadek?nalamba points zote.
   
Loading...