ADC sasa wanaivuruga CDM na Wataivuruga CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ADC sasa wanaivuruga CDM na Wataivuruga CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Oct 22, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mkutano wa ADC sasa wanatumia alama ya V katika mikutano yao.

  Pia bendera yao ni kama ya CDM
   
 2. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  CHADEMA ni TAASISI, ADC ni kampuni na DIRECTOR wake anaitwa HAMAD RASHID.
   
 3. n

  ngonani JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1,371
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hivi hii ADC iko mkoa gani,mbona sijawahi hata kuona ofisi yake?wala kusikia watu wakiiongelea?ni chama au SACOS fulani?
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Kwenye jimbo na mtaa wa ZZK karibu kila baada ya nyumba tatu kuna bendera ya ADC (Mwandiga-Kigoma kaskazini).
   
 5. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ADC ni mtoto aliyepatikana kwenye ndoa ya CCM na CUF.Amekuja kuvuruga M4C.
   
 6. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  ADC ni mnyama gani, there is no worry about mdudu aitwaye ADC. Waache waeendelee na mapenzi yao yasiyo salama na yenye mashaka baina ya CCM, KAFU NA ADC.
   
 7. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  dada nimeipenda hii lakini source please, pia angalia ZZK anatumiwa na magamba angalia tusije tukakuokotea mabwepande wakiwa wameshakuCATRATE apo mbele
   
 8. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  M4C HAINA HUUSIANO NA YEYOTE, CUF ALIJARIBU ARUSHA NA M4C YAO AKAISHIA KUFADHILIWA NA CCM KUSAFIFIRISHA WATU MPAKA A-TOWN, NADHANI KWA SASA NI SHAHIDI KATIKA KAMPENI ZA DARAJA II WANATAMANI HATA KUJITOa
   
 9. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,631
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Jimbo la 'rais'?
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Zitto na Kafulia wapo behind ya hii kitu ila wanatwanga maji ya chumvi.
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Source ni personal observation, so if u want to quote you can quote me!
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Iko buguruni rozana
   
 13. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,143
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  Kama Cuf A imeshindwa kuivuruga Chadema, itakuwa Cuf B?
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  wasiwe na shida watawaconfuse hata wana CCM na CUF,then CDM watatoa tamko kwa wananchi dkk za mwiho jinsi ya kuijua CDM.
   
 15. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  nilikuwa hai na karatu bendera za adc kibao
   
 16. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  kama ilivyo kwa cdm aliepatikana kwa ndoa kati ya kanisa na uchaga
   
 17. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Masaburi yafo laribumenye
   
 18. e

  enzihuru Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cdm haina sera ya matusi hivyo wanachama wake jihadhalini na mtego huu wa chama cha matusi msiwe wafuasi wake pasipo kujua. Waelezeni wapinzani wetu sera zetu kwa hoja na baadae watagundua kuwa CDM si kama wadhanivyo kuwa ni wachaga na kanisa bali cha watu wote wapenda haki na maendeleo endelevu.
   
 19. B

  Benazir Buto Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunawafahamu kwa majina mnaopost upuuzi wenu hapa...kama mmetumwa muwaambie hatuyumbishishwi na mbwa wala watoto wa mwenye mbwa.tunapigania kuikomboa nchi nyie mnaleta usanii wenu hapa.mtaishia kula makombo na kulamba miguu ya watawala mpaka lini? ADC ITAENDELEA KUWA NYUMBA NGODO YA SISIEM WAKIONGOZWA NA MKE KUBWA JINGA CUF.........VIVA CHADEMA
   
 20. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Urais utawatoa roho watu 2015
   
Loading...