wenzenu China wanajivua magamba, nyinyi CCM mwasubiri nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wenzenu China wanajivua magamba, nyinyi CCM mwasubiri nini??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Oct 23, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  BBC SwahiliChama tawala cha kikomunistinchini China kitafaya mkutanowake mkuu wa baada ya miaka mitano kuanzia tarehe nane mwezi Novemba kufanyamageuzi makubwa serikalini ambayo yatawezesha kuwachagua viongozi watakaoongoza nchi hiyo kwa miaka kumi ijayoKongamano la chama linafanyika kumchagua rais wakwanza atakayehudumu kwa miongo miwili. Viongozi wa sasa watangÂ’atuka mamlakani akiwemo rais wa nchi hiyo pamoja waziri mkuu na kustafisha viongozi walio zidisha miaka 68. mia
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wakina Sita nimewasikia tokea nikiwa chekechea
   
 3. S

  Shushushu nguli Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msemaji hajui siasa za china, na anayetajwa kuchukua urais ni mojawapo wa kiongozi wa sasa katika wadhifa mkubwa tu.... Sidhani kama ni kujivua magamba bali ni kubadili nguo tuu na kulipaka rangigamba.
   
Loading...