UAMSHO Kuwa Chama cha Siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UAMSHO Kuwa Chama cha Siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Oct 23, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kwamba matatizo ya uamsho Zanzibar yanasababishwa na ombwe la upinzani Znz. Baada ya CUF kujiunga serikali ya umoja, hakuna chama cha upinzani chenye nguvu Znz kutetea maslahi yao. Matokea yake Uamsho wamekuwa ndio kimbilio ya wazanzibari wengi ambao hawaridhiki na mfumo uliopo. Kuna tetesi nimezipata kuwa baada ya Uamsho kugundua wana ufuasi mkubwa sana wanataka aidha waunde chama cha siasa ambacho kitakuwa third force kubwa sana au wajiunge na chama cha siasa. Wanauamsho walishawahi hata kutaka kujiunga na chadema lakini Chadema ikaona itakuwa political suicide maana ingewaaminisha watu kuwa Chadema ni chama cha fujo.

  My take: Wakifanikiwa hili Znz kutakuwa na chama cha tatu chenye nguvu na watakaopoteza zaidi ni CUF
   
 2. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Kwanza ni cha kidini
  Pili hakitaki Muungano
  Tatu wapo Unguja tu Katavi au Simiyu hawatapata Wanachama
  Nne Tendwa akiwaona tuhao viongozi wao wenye pasi mbilimbili hata wakubali
  Mwisho. Wakakiandikishe Oman
   
 3. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Baraka zotwe mnazo kuweni chama na chukueni Kisiwa chenu ili mkatane vichwa vizuri
   
 4. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Speechless
   
 5. c

  chakarikamkopo Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  intelligent analysis ....................liked the the first four sentences.......
   
 6. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Madai makubwa ya UAMSHO ni kutetea maslahi ya Waislamu, hivyo Msajili wa vyama hawezi kutoa usajili kwa chama kinachotetea watu wa imamni moja tu, lakini ngoja tusubiri kitakachotokea.
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Chini ya serikali inayoongozwa kwa MASHINIKIZO ya watu lolote linaweza kutokea, wanaweza wakaenda kwa Tendwa kusajili,akiwakatalia wanatoa ultimatum ya saa 26 mara kabla ya ijumaa usajili tayari. in a state that is in AUTOPILOT MODE this is possible
   
 8. J

  John W. Mlacha Verified User

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Bwa ha Hahaaaaaaaaah
   
 9. m

  majambos Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uamsho kimesajiliwa kwa ajili ya mihadhara ya kiislam, siiyoni mantiki itakayo tumika kuisajili kama chama cha siasa kwa kutumia sheria zilizopo kwa sasa. Hawa nawaona ya kuwa ni wasumbufu tu, wanafanya mambo kwa kuiga ama wanatumiwa.
   
 10. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Hakitapata usajili kwani kinachanganya dini na siasa ambazo hata waarabu zimewashinda na hawazitaki!

  Sharia
   
 11. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Jiandaeni kuona ya Algeria chini ya FIS yakitokea Zanzibar...
   
 12. n

  ngonani JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1,371
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Jana niliangali hao viongozi wa UHAMUSHO wakilpelekwa mahakamani,almost wote ni Waarabu pure,na wala sio chotara,inatakiwa Wazanzibar halisi waone aibu ku entertain awa watu,hivi bado wanataka mambo ya Usultani?

  kuongozwa na awa waarabu?ukiwachunguza waote uraia utakuta wana dual citizenship,na sitoshangaa kusikia wana link na uhamusho wa Mombasa au AL Shabab.
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Ninachofahamu mimi Uamsho ni kitengo cha dini cha CUF.
   
Loading...