Our Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Our Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtwana, Oct 22, 2012.

 1. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Watakaokereka na wakere ila Znz hiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
   

  Attached Files:

 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  tuwacheni tupumuwee
   
 3. m

  mwangwa Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwan hampumui?????????????????
   
 4. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mmpumue kwa masaburi?
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Waimba taarabu utawajua tu. Mipasho peleka facebook
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Just get the hell out of the union.
   
 7. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Huko Canada mliko mlienda kama Wakimbizi eti Unguja na Pemba wanagombana na hapo mko ndani ya Muungano. Mkipewa hiyo Zanzibar yenu si ndo mtamalizana? Au mnadhani itakuwa ndo njia ya kuwavuta ndugu zenu kwenda Canada kuishi kwa benefit allowance?
   
 8. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Benefit of doubt, kama hujui umuhimu wa muungano hasa kwa watu wa visiwani waishio Tanganyika, njoo waulize uone jinsi wanavyoulilia. Kama umepata nafasi ya kuishi huko Canada usitumie mda wako kuwaumiza wenzio.
   
 9. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  We umefuata nini huko kwa makafir mkuu!! au ndio bin adamu mbaya kiatu chake dawa!!
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Umelenga penyewe,siku zote kazi yao ni kuwapa watu majina lakini angalia walivyojazana Western world mbona hawaendi kwa wenzao walio safi kama Afghanistan na Pakistan..??
   
 11. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  urojo tu!
   
 12. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Waache wajikunyate ki-vyao nasi tujitanue k-ivyetu...lakini jambo lililowazi, ambalo si rahisi kuingia akilini mwa vichwa sugu, ni kuwa inabidi wabara watayarishe makambi ya wakimbizi ya kuwahifadhi wazanzibar watakaohisi mbano ambao badala ya kukimbilia Canada na kwingineko, watakimbilia Huku Bara, na wabara watakaohitaji halua na urojo watatalii visiwa hivyo na kubarizi kwa raha zao!
   
 13. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  ...inaumaaaa
   
 14. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,291
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  ila muungano katu hautavunjika,mtakufa 2
   
 15. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa nini mnashirikiana na Canada badala ya Syria, Afghanistan, Libya au Saudia?
   
 16. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Zanzibar ni colony letu hatuwezi kuliacha.
   
 17. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  napita hapa
   
 18. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  safari njema jamani duh! we r tired of u, even God knows tumejitahidi kuwabeba hambebeki......................
   
 19. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  masikini, kwani kuwa na logo ndio nchi? mimi na kampuni zangu nina logo kibao na mabendera pia, na wimbo wa makampuni yangu ni lionel richie ya all night long. kwa hiyo nastahili kuwa na nchi ngapi mimi?
   
 20. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Nimeikubaliii, najua wana wari watachonga sana, na mtajitanda mitandio mara hiii hahahahhaha
   
Loading...