Habari za kuaminika kutoka ukumbi wa mikutano wa mwalimu Nyerere,uliopo chuo cha Mipango, Dodoma. Ndugu Nape Nnauye alipoingia ukumbini vijana wote walilipuka kwa vifijo na shamra shamra za...
Kitendo cha Beno Malisa kutogombea tena uongozi ndani ya UVCCM kulingana na mazoeya ya viongozi wengi wa CCM ni dalili tosha ya kuwa kijana huyu ni mjanja na anajua kusoma alama za nyakati...
Wiki hii, Sheikh Farid na wenzake wamefikishwa kortini baada ya Sheikh Farid 'kutekwa' na kusababisha vurugu kubwa Zanzibar. Wengi tulitegemea wangeshitakiwa kwa vurugu za wafuasi wao wiki...
Jimbo la Mlalo wilayani Lushoto walimkabidhi Brigedia Mstaafu Hassan ngwilizi kuwawakilisha wananchi wa Mlalo,lakini maendeleo yake yamekuwa finyu sana haswa katika tarafa ya umba ambapo vipo...
Kwa hamasa iliyoonekana katika mkutano uliohutubiwa na kamanda F.Mbowe mwenyekiti wa taifa CHADEMA hapa Vwawa,Mbozi,ccm itabwagwa hata kwa mbinu zozote watakazozitumia.Watu wa huku wameikataa...
Wakati mkutano wa tisa wa Bunge ukitarajiwa kuanza Jumanne ijayo, matarajio ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Kamati ndogo ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge juu ya uchunguzi dhidi ya...
Magazeti,Television zmeandika an kunukuu kauli ya Rais Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa Magamba akisikitishwa na utoaji Rushwa unavyokidhiri katika chaguzi za Magamba. Anasema " Hii hali...
ndg zangu'tujadili ya kwetu.Matatizo yetu yatapata majibu endapo tutajadili wenyewe.
Mosi,adha kubwa ni MAJI,kwa matumizi ya kila siku.je ahadi hz zote tunazopewa na ccm toka mwaka 1985-2012...
Wanajamvi,
Tupange safu ya viongozi ambao wataiweka nchi katika mstari. Ikiwezekana fasu ikikamilika apewe Mh. Rais anayemaliza muda wake.
Rais ajaye: Edward Lowassa
Vice president: Gharibu...
Pale halmashauri kuna usumbufu mkubwa kwa watu wanaofika pale kupata huduma,matharani kuna watu walienda pale kupata huduma lakini walikuwa wanalalamika kwamba mara unaambiwa fail lako...
Zanzibar ni nchi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwenzake akiwa Tanganyika. Sifa moja ya nchi kamili ni kuwa na jeshi la ulinzi la kulinda mipaka na watu wake. Lakini naomba niulize swala...
Wazanzibarwengi wamefurahishi kuliwa kwa Koplo Saidi, huyu jamaa akikuwa kila mabalaa yakuwanyanyasa wananchi wa Zanzibar yeye huhusika, lakini mara hii arubaini yakeilitimia.
KoploSaidi na...
Tunaelekea 2015 kwa matumani lakini pia tukiwa katika lindi la kukata tamaa. Mambo haya mawili yako katika mioyo ya Watanzania vijana, wazee, akinamama, watoto na marafiki zetu wa n'gambo...
Jumanne, Oktoba 23, 2012 12:03
Utapeli wa kutisha umefanywa na uongozi wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, juu ya uuzaji viwanja katika eneo la Gezaulole.Imebainika kwamba uongozi wa Manispaa...
Nimekuwa natafakari kwa muda mrefu huku nikitathimini mwenendo wa siasa na uchumi wetu wa Tanzania. Tafakari yangu imenizamisha na kunirejesha katika historia mana bila kufahamu historia hatuwezi...
Habari ya ADC kutumia bendera yenye rangi karibia sawa na CHADEMA si jambo la kupuuzia hata kidogo. Hili jambo viongozi wetu wa CHADEMA wanalichukulia kimzaa mzaa kweli na kejeli nyingi sana bila...
WENYEVITI wa vitongoji na vijiji wilayani Ukerewe, Mwanza wanaodai posho ya kusimamia Sensa ya Watu na Makazi, wamepitisha azimio la kumshitaki mahakamani mkuu wa wilaya hiyo.
Wenyeviti hao wa...
Kwa kile kinachoonyesha kufilisika Mgombea udiwani kata ya Mpwapwa ameanza kuuza mahindi ili kumudu gharama za kampeni, wameanza kugombana na mkewe anasema anauza mahindi ya chakula akishindwa huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.