Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya "maajabu" ya siasa za CCM ni: 1) Kabla ya uchaguzi wao CCM kufanyika, WAKATI WA MCHAKATO hakuna anayezungumzia rushwa na ufisadi, bila shaka ni kwa vile kila mmoja wao huwa anahonga...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Makada wa CCM hawazomewi na watu wastaarabu baliwatu walioandaliwa kwa kumezeshwa viroba (Pombe kali), ili wapoteze viwango vyautu na utashi wao, hali inayowawezesha kuvamia vikao vya CCM na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wa CHADEMA nchini wameazimia kufanyika kwa maadhimisho makubwa ya kuanzishwa kwa Chama chao. Wenyeviti hao waliokuwa kwenye semina ya kujengewa uwezo na kufanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WANANCHI TUNATEKETEA NA KILIO CHETU HATUNA WA KUMLILIA Sinabudi kutowa malalamiko yetu kama mwananchi wa Tanzaniamwenye kustahili kupewa haki za nchi yangu kama Mtanzania yoyote yule. Mimi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hakuna ubishi kuwa hali ya maisha imekua ngumu hapa nchini kwetu. Bila kuingiza siasa, hebu kama great thinkers tujaribu kuangalia kwa mapana kuhusu matatizo tunayokabiliana nayo kwa sasa, ambayo...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
  • Closed
Wadau katika makala ya MSOMAJI RAIA ndani ya RAIAMWEMA ya Nov 21 2012 - Nov 27 2012 (ukurasa wa 6 wa toleo namba 270) pamoja na mambo mengine, mwandishi anaeleza na kuthibitisha kuwa: 1) CCM...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
wana jf,jiulize tangu umekua na umeanza kuangalia tv,umeshawah kumuona hayati j.k nyerere amevaa sare za CCM? asubuhi njema.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siasa Chadema wakiwa katika maandamano. Na Mussa Juma Posted Alhamisi,Novemba22 2012 saa 10:39 AM Kwa ufupi Madiwani hao ni Estomih Mallah (aliyekuwa Naibu Meya ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NOVEMBA 6, 2009 yaani wiki tano zilizopita, Papa Benedict XVI amewateua mapadri wawili kwa wakati mmoja kuwa maaskofu wasaidizi (Auxiliary Bishops) wa jimbo la Toronto nchini Canada na kufanya...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
tokea ushike wadhifa wako mwaka 2008, nimekuwa nikifuatilia utendaji wako wa kazi hususani ziara za kuhamasisha maendeleo na kuwaamsha watendaji waliolala huko mikoani na mawilayani. nilichogundua...
1 Reactions
1 Replies
991 Views
Swahiba wangu aliyeula CCM-NEC hivi karibuni amenieleza mambo mazito kuhusu hili suala la CCM, kupitia NEC kuisimamia vizuri watendaji wa serikali, kutokana na Kauli ya Katibu Mkuu wa chama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais Morsi wa Misri anataka ku monopolise power na kuwa kama kikwete wa Tanzania kwa kuondoa uwezekano wa kuwepo kwa check and balance ktk nchi hiyo kwa ufupi anataka kuwa dictator ili aweze...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wakuu! Ule wakati uliosubiriwa kwa hamu na waruguru wa kuona moro inakuwa ni kama Arusha in critical changes sasa umewadia, ambapo hivi karibun inatarajiwa kuwashwa moto wa kufa mtu (moto...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Ziaraza katibu Mkuu Kinana na wenzie zitatupa majibu mengi sana ya hatima ya Tanzania,katika ziara yake alipofika Sumbawanga tarehe 22 November alitoa matamko mazitomawili, wana CCM kuondokana na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NAFARIJIKA...! Nimepokea kwa furaha na amani tele ndani ya moyo na akili yangu maagizo yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Waziri wa Viwanda na...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Nimepitia several news na kukutana na mojawapo ikionyesha CCM ikitoa vibali vya uchimbaji wa madini kupitia SISIEMU. Wadau, hii imekaaje? Ina maana ofisa madini wa wilaya, mkuu wa wilaya, mkuu wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KINANA kuhakikisha ilani ya uchaguzi ya CCM inatekelezwa kabla ya 2015.Katika ziara yake ya Geita ambayo wananchi wameonekana kufarijika jinsi mfumo wa siasa wa CCM ulivyo mzuri. Kusikilizwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Ninapofuatilia yanayoendelea Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kichwani mwangu ananijia Joseph Mobutu. Utawala wa Mobutu ulifanana sana na kisa nilichopata kukisoma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
• KINANA, NAPE WAZOMEWA SUMBAWANGA na Mwandishi wetu, Karagwe CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kinafurahi kuona kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatekeleza sera...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau kunamjadala mkali kuhusu hii mada. Linalozungumzwa ni swala majina ya vigogo wa ufisadi walioficha fedha za uswis na kigugumizi cha wenye majina hayo kuyataja. Wanaojadiliwa hapa Ndugu Zito...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom