jiulize kuhusu hayati j.k nyerere

jiulize kuhusu hayati j.k nyerere

tricky

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
108
Reaction score
32
wana jf,jiulize tangu umekua na umeanza kuangalia tv,umeshawah kumuona hayati j.k nyerere amevaa sare za CCM? asubuhi njema.
 
Hata mimi sijawahi kumwona labda tuwasubiri vibaraka wao walete humu ndani hizo picha kutoka kwenye library yao
 
Back
Top Bottom