Godbless Lema kuwasha moto wa kufa mtu Morogoro mjini"

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Habar wakuu!
Ule wakati uliosubiriwa kwa hamu na waruguru wa kuona moro inakuwa ni kama Arusha in critical changes sasa umewadia, ambapo hivi karibun inatarajiwa kuwashwa moto wa kufa mtu (moto wa gas) na kamanda Godbless Lema(Mandela II) ambapo itakuwa ni mkutano wa kihistoria utakaochoma na kuharibu kabisa legacy za magamba hapa moro mjini. Source wanabidii.

Karibu mkombozi jemedari Lema.
PEOPLES POWER.
 

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Hata mimi mwanachama wa CCM humsikiliza Lema.Huyu kijana huthubutu
mkuu umenena! Yani kwa huyu kamanda the great Lema hakuna wakupona hapa, yani sipati picha jinsi gani moro itakavyotikisika kwa moto wa gas wa Lema.
Jamani......., CCM mpo hapo?
 

Mwakitobile

JF-Expert Member
Oct 4, 2012
452
0
Hivi mtu akivuliwa ubunge,anaacha kabisa kuwatumikia watu wake kama kweli alikua ni mzalendo? Maana Arusha bado kuna mengi ya kufanya hasa katika nyanja ya maendeleo
 

SpaceBrigade

Member
Oct 24, 2012
20
0
tarajia nini: mfa maji abood bus service ambaye television yake hutumia dakika 15kila siku muda wa habari kumpamba wataanza mpamba.
moro town ishabadilika, naamini 2015 jimbo litadondokea chadema.
 

sokoinei

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,835
0
Huyo sio lema, ni malema wa A.N.C,magamba hawana ham nae maana yeye hua anaongea ukweli mtupu,anakwambiaga bia naiwe bia maji nayawe maji ugoro na uwe ugoro,nyeupe isiwe nyeus. Magambaaa eti wanajipanga kufukuzana na cdm wakati nguvuzao zilisha isha na wakaiachia polis majukumu hayo sasa imekuaje tena! Babati walizomewa sumbawanga walizomewa eti wanavamia Atawn!! Hivi hawa watu wakoje jamani?hatuwataki wanakuja. Lema tarehe 4atasibitishwa rasmi kuelekea mjengon lema malema wana hekima na neema Godbless him or them
 

Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,522
1,225
Hivi mtu akivuliwa ubunge,anaacha kabisa kuwatumikia watu wake kama kweli alikua anawapenda? Maana Arusha bado kuna mengi ya kufanya hasa katika nyanja ya maendeleo
Tuambie wewe lini kamanda Lema kaacha kuwatumikia wananchi wa Arusha?
 

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
15,786
2,000

Hapa Leo Arusha Policeccm wanahaha kumzuia kamanda asipande jukwaani Nasikia Kamanda Lema kalikamata
Jangili la Tembo!!
 

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Yani ni balaa sana!
Hata ile timu ya wakina kinana na mwigulu bado si kitu ndani ya jeshi la mtu 1 kama Jemedari Lema.

CCM mtasubiri sana.............!
 

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,713
2,000
Nampongeza Ndugu Jerry Slaa mweshimiwa Meya wa Mkoa wa Ilala kwa kazi nzuri aliyoidhamilia ya kuweka jiji katika hali ya Usafi wakati wote Tunashuhudia kwa hili... naona Round About zinawekewe nakshi nakshi nyingi ila kwa mtazamo sina uhakika kama zitadumu kwani kutumia vyuma kurembesha eneo kwa vyuma wezi huving'oa na kuviuza kama vyuma chakavu... ukimaliza na Usafi hebu ingilia kati maisha ya watu wa Dar yawe chini pia manake Twafa... tizama hii kitu
Cost of Living in Dar Es Salaam, Tanzania

 

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,194
2,000
Leo atakuwa viwanja vya Kilombero bila shaka atawaambia wana Arusha jinsi CCM ya Kinana inavyo teketeza wanyama wetu ambao Arusha tuna wategemea sana pengine kuliko mkoa wowote....
 
Top Bottom