Ziara ya kinana geita

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
708
500
KINANA kuhakikisha ilani ya uchaguzi ya CCM inatekelezwa kabla ya 2015.Katika ziara yake ya Geita ambayo wananchi wameonekana kufarijika jinsi mfumo wa siasa wa CCM ulivyo mzuri. Kusikilizwa na kusaidiwa kwa wananchi hasa wachimba madini wadogowadogo ndio imekuwa sifa kubwa ya CCM hapo Geita.
 
Attachments

Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,522
1,225
Kufarijika bila kuwatekelezea kero zao ni ujinga tu na hizi ndizo mbinu za CCM katika kuwahadaa wananchi kila siku kwa kuwafariji,kwa hakika CCM imechelewa sana maana 2015 ikifika hakuna ambalo litakuwa limetekelezwa.
 
kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,728
1,225
Hebu angalia huyo Chinga anaesalimiana na Nape alivyo na hasira.

Hata sijui alikuwa anamuwazia nini hapo, sijui alikuwa anasema haka kajamaa nako hakana account Uswis, au hawa wauza pembe za Ndovu wamefuata nini huku, au bila nyinyi kututia umasikini labda saa hizi nisingekuwa chinga. View attachment 72266
 
Yegoo

JF-Expert Member
Nov 14, 2012
1,330
1,500
Ccm imechelewa sana,,wananchi wanataka kero zao zitatuliwe,hawataki longolongo hivi sasa!
 
Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
2,733
0
Hebu angalia huyo Chinga anaesalimiana na Nape alivyo na hasira.

Hata sijui alikuwa anamuwazia nini hapo, sijui alikuwa anasema haka kajamaa nako hakana account Uswis, au hawa wauza pembe za Ndovu wamefuata nini huku, au bila nyinyi kututia umasikini labda saa hizi nisingekuwa chinga. View attachment 72266
Sioni uhusiano wa CCM (Nape) na Huyo kijana aliyevaa kanda mbili!
 
Top Bottom