Rais Kikwete na Zitto Kabwe
Na Mwandishi Wetu | Mwananchi | Novemba24 2012
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amefichua siri ya uhusiano wake na Rais Jakaya Kikwete kuwa...
Habari zenu ndugu wadau wa JF,nikiwa kama kijana mzalendo wa nchi hii na ambaye ninakereketwa na maendeleo duni ya wilaya yangu ya Kilosa,mkoani Morogoro na wilaya nyinginezo zilizo nyuma...
Waziri wa nishati na madini profesa Sospiter muhongo amesema Kitendo cha tanesko kuwalipisha wananchi garama za nguzo ni uonevu.
Profesa amesema
garama za nguzo zinapaswa kubebwa na tanesko...
Ziara za CCM na mawaziri wa serikali ya JK ktk mikoa ya Kusini imekwisha. Lengo ilikuwa ni kuwapa darasa wananchi wafumbue macho ili wayaone maendeleo yaliofanywa .a serikali ya CCM. Yaani...
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amesema chama chake kimeamua kupanga mikakati madhubuti ya kujiimarisha ndani ya chama.
Kiongozi huyo mashuhuri nchini...
Wanabodi
Wananchi mkoani mbeya na hasa jijini mbeya na wilaya za mbozi,momba,tukuyu na kyela wamehamasika sana baada ya kutangazwa jina la ndugu kinana kuwa katibu mkuu wa CCM.Mazungumzo mengi...
Kila siku wapembe wa CHADOMO wanamkejeli ndg.NAPE Nauye kwa kazi yake nzuri ndani ya CHAMA kana kwamba anapokemea ufisadi ndani ya vyama vyote kwa sera za UZALENDO KWANZA basi wakereketwa wa...
Ndogu Watanzania wenzangu..
hususan watu makini nguli wa mitazamo humu Jamvini, tutafakari hili kwa uzito unaostahili, Tanzania Tuliyonayo leo, Tanzania iliyopoteza Muelekeo, Tanzania tajiri...
Dk. Willibrod Slaa, hupo rasmi Baraza la Mashauriano la Mkoa wa Kagera ambalo linaundwa na viongozi kutoka katika kila jimbo la mkoa huo, linalofanyika kwa muda wa siku tatu katika wilaya ya...
Waziri huyu ambae amekua na tabia ya kujipatia misifa,hivi karibuni amezuia watumishi waliopo chini ya wizara hiyo wasipande daraja la kwanza wanapo safiri na ndege kwa tafsiri kwamba watanzania...
Saturday, November 24, 2012
KINANA, NAPE WAZOMEWA SUMBAWANGA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kinafurahi kuona kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatekeleza sera...
Ni jambo la kijinga kuchagua fedha kuwa ndiyo chombo chetu
kikubwa cha maendeleo na hali tunajua kuwa nchi yetu ni maskini.
Ni ujinga vile vile, kwa kweli ni ujinga zaidi, tukidhani kuwa tunaweza...
It is stupid to rely on money as the major instrument of development when we know only too well that our country is poor. It is equally stupid, indeed it is even more stupid, for us to imagine...
Wajameni nawaletea picha ya kitu kilichotua Ngara na kiliaminiwa kuwa ni bomu kutoka Goma na mpaka sasa bado wajeda wetu wameshsindwa kukitambua. najua JF kuna wataalamu hu ambao bila chenga...
Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa wa CHADEMA Tanzania wameadhimia kwa kauli moja kuwa Chama kifanye maadhimisho makubwa ya kusajiliwa kwake. Viongozi hao waliokuwa Wilayani Karagwe Mkoani Kagera kwa...
Mhe. Waziri wa uchukuzi Dr. Mwakyembe nakumbuka uliwahi kufanya ziara ya kustukiza pale ubungu bus terminal na ukagundua madudu katika suala la nauli, sasa tunakuomba uyageuzie macho yako magari...
MKURUGENZI wa Mashtaka (DPP), amewafutia mashtaka watuhumiwa watatu kati ya sita waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya kutorosha isivyo halali wanyamapori hai kwenda Doha, nchini Qatar. Wanyama...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amefanya ziara ya kushtukiza katika Mkoa wa Tabora asubuhi hii ambapo amekutana na Mkuu wa Mkoa huo Bi Fatma Mwasa na pia kukutana na viongozi wa Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.