Katika uchaguzi wa 2010 waliojitokeza kupiga kura ni kama 1/3 ya wote wenye haki ya kupiga kura.
Utafiti wangu usio rasmi unasema kwamba watu wengi wameichoka CCM ila waliamini hata wakipigia...
WAKUU naona KINANA na wenzake wanazunguka na kukoromea watumishi wa umma na kutoa ahadi kemu2 kwamba "...wanaiagiza serikali itekeleze, watawachukulia hatua watumishi..." WAKIDAI NI CCM KUISIMAMIA...
Phinias Bashaya
MADIWANI wa Manispaa ya Bukoba wameendeleza mfululizo wa vikao vya malumbano na baadhi kutumia ramani ya Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka...
Thursday, November 22, 2012
Huenda wakafukuzwa
Wadaiwa kukaidi chama
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewaweka kiti moto madiwani wake wote wa Halmashauri ya Jiji la Arusha ili...
Tulipata uhuru mwaka 1961.Sina hakika kama ulikuwa uhuru wa bendera au uhuru wa kweli kwa sababu kwa jinsi mambo yalivyo kwenda :Julius kuruhusiwa kuendesha harakati za kutafuta uhuru almost...
Wakuu,
Nilipata fursa ya kuhudhuria kikao cha kutathmini mchakato wa APRM kilichoandaliwa na asasi ya kimataifa ya OSEA ktk hoteli ya Kilmanjaro DSM wiki hii.
Kikao hicho kiliwashirikisha vyama...
Mwandishi wetu, Babati (Tanzania Daima)
CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhakikisha kinaweka umoja na vyama vingine ili kujiimarisha katika...
Posted Ijumaa,Novemba23 2012 saa 9:4 AMKwa ufupi
Kesho (leo) na keshokutwa (kesho) uamuzi mgumu utatolewa ambao utalitatua tatizo la Kongo moja kwa moja, alisema Waziri Membe na kuongeza...
Wadau.Kwanza naomba msome habari hii
Meya Bukuba alikoroga.
kama manvyojua hivi sasa CCM katika jimbo la bukoba mjini kunafukuta mgogoro mkubwa amabo tayari umekwisha kipasua chama vipande...
Friday, November 23, 2012
Viongozi wa Uganda, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa sauti moja wamelitaka kundi la waasi la M23 lililouteka mji wa Goma siku ya Jumatatu usiku, kuondoka...
Barazani kwa Ahmed Rajab
Ahmed Rajab
Toleo la 269
21 Nov 2012
VIOJA vilivyozuka Zanzibar siku mbili hizi, na hasa baada ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi amatangaza kiama kwa walimu wasio wanachama wa CCM? Hivi ni busara kweli kulazimisha walimu wa shule hizo kuwa na itikadi ya CCM? Je, ni watoto wa wana CCM ndiyo...
Ikiwa siku tatu za matangazo juu ya ujio wa meya wa Jiji Jerry Silaa jiji laDar es salaam, wanahci walimsubiri kwa hamu sana, kulikuwepo hoa mbali mbali ambazo alitakiwa kuzijibu, hoja mojawapo ni...
jamani samahani mwenye habari kamili atujuze, nimepita maeneo ya chuo kikuu, bahati mbaya nilikua kwenye gari, atatoa mhadhara kuhusu siasa za Afrika.saa 9 mpaka 11 jioni..
Nawasilisha.
Mara nyingi kumekuwa na matukio tofauti tofauti ya baadhi ya VIONGOZI aidha kukataliwa na WANANCHI pale wanaposema uongo piakuna mambo yanaweza kufanywa na Taasisi,Shirika,Asasi zisizo za...
Wakoloni walifukuzwa toka sehemu mbalimbali Afrika, lakini sasa wanaendelea kutuibia kwa mtindo wa ukoloni- mamboleo; ndivyo William Ngeleja anapanga kuendeleza wizi-mamboleo kupitia mikono...
Nakupongeza Mbunge wa Ubungo JOHN MNYIKA kwa kitendo chako cha kujichanganya na jamii mpaka kufikia kunywa kahawa vijiweni na kucheza bao.
Umekuwa mbunge wakwanza hapa Dar mimi sijawahi kuona...
Hawa Wamalawi wasintanie kabisa, Babu yangu kasema Mpaka wa Tanganyika na Malawi uko hapa
Hizi sehemu zote zetu hizi
Karonga
Rumphi
Mzuzu
Chitipa
Nkhata
Tena wakae mbali maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.