Zimebaki siku 1826 tu ili tupate uhuru. Ni siku hiyo Tanzania mpya itazaliwa .siku hiyo mito maziwa na rasilamali za nchi zitashukuru kwamba hazinyonywi tena.siku hiyo utawala chaguo la watu...
Katika ufunguzi wa tawi la CCM la Isesa nusura vijana CCM na wa Chadema watwangane makonde baada ya vijana wa Chadema kuwatuhumu CCM kwamba wamewaibia bendera ya chama chao...
Ni saa moja kasoro asubuhi hapa Dodoma nipo kwenye Daladala na rafiki yangu,mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ,tunatokea Area C mahali tunapoishi kuelekea chuo kuwahi vipindi.Mimi nina muda sasa...
Hili ni swali la ugomvi ka Ijumaa hii. Nyerere alitumia majukwaa yote aliyoyapata kutetea haki ya Wapalestina kuwa na nchi yao wenyewe. Alikataa "uvamizi" wa Israel. Kwa miaka karibu saba ya JK...
Siasa
Na Mussa Juma (email the author)
Email this article to a friend
Friend's Email Address
Your Email
Message
Submit Cancel
Posted Alhamisi,Novemba22 2012 saa 10:39 AM...
Ijumaa, Novemba 23, 2012 04:38 Na Bakari Kimwanga, Rukwa
*Ni baada ya kubanwa na wana CCM Sumbawanga
*Wasema wasipoteua mtu makini wapinzani watatamba
*Yeye awaondoa wasiwasi, ataka wadumishe...
Kitaifa
Posted Alhamisi,Novemba22 2012 saa 21:36 PM
Kwa ufupi
"Ghasia na Murji kwanini mnaudanganya umma kwa kupeleka gesi Dar es Salaam, sisi hatuna ubaya na chama ila hatutaki gesi iende...
Mwark Mwandosya. Hali yake ki afya dhaifu
lakini pension yake iko kwa nini asi resign, ili apishe vijana wenye afya kufanya kazi?
Kwa nafasi yake kama waziri ambaye hana kazi inabidi alipiwe...
Kesi ya madai ya kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na chadema dhidi ya madiwani waliofukuzwa na chama imesomewa hukumu leo.
Kwa mujibu wa Filipo aliyekuwepo mahakamani ni kwamba madiwani...
Chuo kikuu cha tiba na sayansi muhimbili kimemtunuku cheti Rais Jakaya Mrisho kikwete kwa kutambua mchango wake katika sekta ya afya!
Ni kweli anamejitahidi kiasi lakini siungi mkono kila mara...
Naona huyu atakuwa spika anayesafiri kuliko wote Africa
Sijawahi kuskia anafanya open workshop ya mambo ya uraia Rufiji au Ukerewe yeye kila kukicha yuko ulaya na nchi zilizoendelea
naona safari...
Nimesikitishwa sana na taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa jiji la Arusha kwa vyombo vya habari 17/11/2012,taarifa hii imejaa uongo wa kiwango cha kutisha,na ambayo haipaswi kutolewa na mtu...
Wakuu leo wakati napitia nakala ya gazeti la Mwananchi nimekumbana na habari na picha ya askari wetu wa JWTZ wakiwa katika mazaoezi makali "Ongeza Nguvu" yaliyofunguliwa na mkuu wa mkoa wa Ruvuma...
Si wanaopiga kelele au kukejeli mikutanoni wanafanya kejeli hapana wanatoa ujembe kuwa wanamatatizo yanahitajika kuelezwa na kutatulia: Habari itv ..
Safi kinana wazi chama kinarudi upya na...
wakuu ni kwa mda mrefu sasa kumekuwepo harakati za makusudi kukwamisha harakati za CHADEMA kisiasa chuoni hapa,na juhudi hizo za kuua democrasia zimekuwa zikipangwa kwa ustadi mkubwa na baadhi...
Hivi sasa karibu kila chombo cha habari yaani magazeti,radio,television,mitandao ya kijamii n.k inazungumzia malumbano ya kisiasa ama baina ya vyama au makundi ya urais 2015 n.k kila kukicha...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimejikuta katika mshangao mkubwa baada ya kuambiwa na ocd wa Arusha kuwa Amefuta mikutano yote ya vyama vya siasa ilikupisha ujio wa katibu wa CCM ndg...
Mwongozo wa CCM (1982) umetuwekea utaratibu mzuri sana wa kukabiliana na changamoto ndani na nje ya chama, na laiti viongozi wetu wangekuwa wanazingatia utaratibu huu, ni dhahiri CCM ingeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.