morsi anataka kuwa kama kikwete azuiwe at any cost.

P

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,250
Rais Morsi wa Misri anataka ku monopolise power na kuwa kama kikwete wa Tanzania kwa kuondoa uwezekano wa kuwepo kwa check and balance ktk nchi hiyo kwa ufupi anataka kuwa dictator ili aweze kulifanya bunge kuwa ni muhuri wake wa kupitisha vitu anavyovitaka bila kuwepo mamlaka inayoweza kuoji au kuzuia maamuzi yake, anataka kuwa na mkono wake kwenye mahakama kwa kuweza kuweka watu anaowataka yeye bila kuojiwa au kuzuiwa na mamlaka yeyote yaani kwa ufupi ni mfumo wa kidikteta kama tuliokuwa nao hapa Tanzania. ni mfumo mbaya sana wapenda demokrasia nchi nzima inabidi tuwaunge mkono wana demokrasia wengine kuwaombea kuondokana na mfumo huu mbaya sana ambao umeingiza nchi kwenye umaskini mbaya sana kwani badala ya utawala wa nchi kuwatumikia na kuwajibika kwa wananchi unaishia kuwajibika na kumtumikia dictator aliye juu yao.
 
F

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
2,800
2,000
Hivi kikwete ameondoa check and balance ipi hapa Tanzania?
 
S

Sometimes

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
4,552
1,500
Morsi ameonja asali na sasa anataka kuchonga mzinga!
 
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
4,464
1,250
We acha tu yaani morsi anashangaza sana! Alafu hatua hyo imekuja baada ya mataifa ya magharibi kumpa sifa kuhusu mgogoro wa israel dhidi ya palestina. Morsi anataka kuwaweka majaji na waendesha mashtaka ambao anawataka yeye hatua ambayo imefanya watu kuandamana. Morsi alitoa amri ya kufutwa kazi mwendesha mashtaka wa serikali yake akidai ni wa kipindi cha hosn mubarak hatua iliyozuiliwa na mahakama nchini humo. Madkiteta wengi wamebaki afrika hatua ambayo inachangia hali ya watu kuwa mbaya kiuchumi.
 
Top Bottom