MANGULA KUSHINDWA NEC WILAYAN: JE MGOMBEA mmoja u-mwenyekiti au makamu chair CCM ni JANGA au BARAKA?

NYAMKANG'ILI

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
223
112
Baadhi ya "maajabu" ya siasa za CCM ni:

1) Kabla ya uchaguzi wao CCM kufanyika, WAKATI WA MCHAKATO hakuna anayezungumzia rushwa na ufisadi, bila shaka ni kwa vile kila mmoja wao huwa anahonga (VIBARAKA, MAFISADI & MANABII 7 FEKI WA KUPINGA UFISADI), tofauti pekee ni viwango vya hongo kati yao, baadhi wanakusanya na kuhonga mabilioni na baadhi vijisenti. Baada ya zoezi la uchaguzi; wote washindi na washindwa hujitokeza na kulalama kuwa rushwa ilitawala - hili ni AJABU LA CCM

2) Mshitakiwa ndiye hakimu katika kesi yake. CCM kilimdhamini JK ili agombee urais TZ. CCM wakasaini naye mkataba, ilani ya uchaguzi. Vivyo JK anapokuja kwenye NEC, CC & MKUTANO MKUU ni sawa na mshitakiwa kufikishwa mbele ya JAJI (NEC, CC & MKUT MKUU) - JK anawekwa kitimoto, aeleze ametekeza vipi mkataba, ILANI. LAKINI hapa JK kwa siasa za CCM hugeuka na kuwa JAJI, basi hapo badala ya yeye kuhojiwa, yeye ndiye anayeanza kuwaweka kitimoto hao CC, NEC & MKUT MKUU. Baada ya vikao hivyo kuisha, utasikia BAADHI YAO (NAPE & KINANA) wanaanza ngwe ya kuzunguka nchi na "kuiagiza serikali kutekeleza ilani". Haya ni amaigizo, kwa sababu wa kuagiza ni JK na walikuwa naye "juzi" mbona hawakumuagiza, sasa KIGOMA WANAMUAGIZA NANI? - hili nalo ni AJABU LA CCM

3) AJABU kabambe, ni MANGULA kushindwa kuchaguliwa katika ngazi ya WILAYA kwamba hafai, alafu akachaguliwa kwa 100% katika ngazi ya TAIFA. Naamini hili ajabu linadhihirisha kwamba mgombea mmoja wa nafasi yoyote ni janga, kwa sababu naamini MANGULA angesimamishwa na yeyote kwenye u-makamu chair CCM asingeambaulia kitu - HILI NALO NI AJABU

KWA MUSTAKABALI wa TAIFA letu, tuungane kupambana na MAAJABU HAYA YA CCM, ni majanga
 
Hello its time CCM wanatambua walikotoka, safu ya Uongozi Kitaifa sasa hivi inadhihisha wazi kuwa Mwenyekiti Ndugu Jakaya ndiye yule tuliyemjua enzi hizo, halafu akayumbushwa na wala rushwa. Hongera mwenyekiti you are back to the real you! Baba Wa Tafia Mwalimu Nyerere huko aliko analala usingizi munono.Keep it up! Sioni team hii ya Kitaifa kushindwa kuiongoza nchi.
 
3. kwenye nafasi ya Mangula kidogo umeteleza,......alikuwa akishindwa kwa sababu MKONO MTUPU HAULAMBWI....na si kwa sababu alitoa kilicho kidogo
Na maadui zake wanalijua hili! na wanahaha maana ndani ya miezi sita ameahidi atafanya kitu kinachoonekana......​AKIFANYA NITAKUWA WA KWANZA KUCHUKUA KADI YA CCM ILI NIWE MWANACHAMA WAO....ASIPOFANYA NITAANGALIA WENYE MWELEKEO MWEMA WA MANENO NA MATENDO KWA TAIFA LETU!
 
UTASUBIRI SANA, kwasasa, simwoni wa kumkemea Lowasa ndani ya hicho chama, ana siri nyingi sana za kocha wake na inaelekea hata huyu kocha wa timu naye anamwogopa, anyway subiri tu!
 
Baadhi ya "maajabu" ya siasa za CCM ni:

1) Kabla ya uchaguzi wao CCM kufanyika, WAKATI WA MCHAKATO hakuna anayezungumzia rushwa na ufisadi, bila shaka ni kwa vile kila mmoja wao huwa anahonga (VIBARAKA, MAFISADI & MANABII 7 FEKI WA KUPINGA UFISADI), tofauti pekee ni viwango vya hongo kati yao, baadhi wanakusanya na kuhonga mabilioni na baadhi vijisenti. Baada ya zoezi la uchaguzi; wote washindi na washindwa hujitokeza na kulalama kuwa rushwa ilitawala - hili ni AJABU LA CCM

2) Mshitakiwa ndiye hakimu katika kesi yake. CCM kilimdhamini JK ili agombee urais TZ. CCM wakasaini naye mkataba, ilani ya uchaguzi. Vivyo JK anapokuja kwenye NEC, CC & MKUTANO MKUU ni sawa na mshitakiwa kufikishwa mbele ya JAJI (NEC, CC & MKUT MKUU) - JK anawekwa kitimoto, aeleze ametekeza vipi mkataba, ILANI. LAKINI hapa JK kwa siasa za CCM hugeuka na kuwa JAJI, basi hapo badala ya yeye kuhojiwa, yeye ndiye anayeanza kuwaweka kitimoto hao CC, NEC & MKUT MKUU. Baada ya vikao hivyo kuisha, utasikia BAADHI YAO (NAPE & KINANA) wanaanza ngwe ya kuzunguka nchi na "kuiagiza serikali kutekeleza ilani". Haya ni amaigizo, kwa sababu wa kuagiza ni JK na walikuwa naye "juzi" mbona hawakumuagiza, sasa KIGOMA WANAMUAGIZA NANI? - hili nalo ni AJABU LA CCM

3) AJABU kabambe, ni MANGULA kushindwa kuchaguliwa katika ngazi ya WILAYA kwamba hafai, alafu akachaguliwa kwa 100% katika ngazi ya TAIFA. Naamini hili ajabu linadhihirisha kwamba mgombea mmoja wa nafasi yoyote ni janga, kwa sababu naamini MANGULA angesimamishwa na yeyote kwenye u-makamu chair CCM asingeambaulia kitu - HILI NALO NI AJABU

KWA MUSTAKABALI wa TAIFA letu, tuungane kupambana na MAAJABU HAYA YA CCM, ni majanga

Mangula hakushindwa NEC mkuu...Alichukua fomu na baadae alijitoa.........USIPOTOSHE
 
DAMN...!!

UNA AKILI NYINGI SANA KIONGOZII

THANK YOU A LOT...
:madgrin:
 
3. kwenye nafasi ya Mangula kidogo umeteleza,......alikuwa akishindwa kwa sababu MKONO MTUPU HAULAMBWI....na si kwa sababu alitoa kilicho kidogo
Na maadui zake wanalijua hili! na wanahaha maana ndani ya miezi sita ameahidi atafanya kitu kinachoonekana......​AKIFANYA NITAKUWA WA KWANZA KUCHUKUA KADI YA CCM ILI NIWE MWANACHAMA WAO....ASIPOFANYA NITAANGALIA WENYE MWELEKEO MWEMA WA MANENO NA MATENDO KWA TAIFA LETU!
Mahesabu Mangula na Kinana ni nani mtendaji wa chama? nilitegemea hii mizunguko yao sana sana alitakiwa katibu mwenezi na makamu mwenyekiti ndio wazunguke kujua hayo matatizo ya wananchi na si Kinana
 
Last edited by a moderator:
Wataalamu wa kuandika vi notes bubu (visivyokuwa na track) vya kuchota pesa kwenye taasisi zetu za pesa kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pamoja na ulaji wa mwisho kwa viongozi waliopo madarakani wanarudishwa kwenye nafasi zao tayari kwa kuanza kutengeneza EPA nyingine. Nchi hii itatafunwa na mafia wachache hadi ibaki mashimo matupu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom