Star TV live jicho letu ndani ya habari leo jmosi November 24,


Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
1,601
Likes
44
Points
145
Mupirocin

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
1,601 44 145
Wadau kunamjadala mkali kuhusu hii mada. Linalozungumzwa ni swala majina ya vigogo wa ufisadi walioficha fedha za uswis na kigugumizi cha wenye majina hayo kuyataja. Wanaojadiliwa hapa Ndugu Zito Kabwe na ndugu Bernard Membe wamedai majina wanayo lakini hawataji. Je wanafaa kuwa viongozi au wanatafuta umaarufu. WanaJF karibu tujadiliane
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,044
Likes
11,979
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,044 11,979 280
Umeme umekatika kwetu,utatupdate!! Zitto tiririkaaaa!
 
Last edited by a moderator:
M

mecy

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2012
Messages
422
Likes
0
Points
0
M

mecy

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2012
422 0 0
kweli ninafuatilia mjadala huo.inahtajika ujasiri wa hali ya juu sana kutaja majina hayo,ila tu kitendo cha kutoweka wazi majina hayo ni dalili ya kupindisha mambo na ukweli uliopo.watanzania hatuna umoja wa kuiwajibisha serkali moja kwa moja,kweli naamini sasa peoples power inaweza kuwajibisha.zitto mwanamageuzi huna budi kuweka waz majina hayo.ita wandish waweke wazi,isipokuwa gazeti la uhuru na tbc wasiwepo,zitto chukuwa hatua najuwa utaweka heshma,au waogopa kufanywa kama ulimboka?
 

Forum statistics

Threads 1,237,069
Members 475,401
Posts 29,277,274