Serikali kutoa leseni za uchimbaji madini kupitia chama?

Indume Yene

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
2,927
Points
1,225

Indume Yene

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
2,927 1,225
Nimepitia several news na kukutana na mojawapo ikionyesha CCM ikitoa vibali vya uchimbaji wa madini kupitia SISIEMU. Wadau, hii imekaaje? Ina maana ofisa madini wa wilaya, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa wanafanya kazi gani? Kinana anatoa hizi leseni za serikali kama nani serikalini? Au huku ndiko kuanza kujisakafia??Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi leseni za wachimbaji wadogo machimbo ya Mugusu, Geita, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mkoani Geita. Jumla ya leseni 21 zilikabidhiwa kwa wachimbaji hao baada ya kutolewa na serikali ili kuwwezesha wachimbaji wadogo nao kunufaika na m,adini badala ya wachimbaji wakubwa tu.
 

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
6,391
Points
2,000

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
6,391 2,000
Hii nchi ina maajabu mengi tu! Wameshindwa kuonesha kile wanachotekeleza wameishia kuvizia vitukio visivyowahusu
 

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
2,193
Points
2,000

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
2,193 2,000
hii wadau iko serious sana!! Hii Sekretariati mpya inaturudisha miaka 30 nyuma. Chama kushika hatamu hai-hold wakati huu. Slowly walianza kujifunza kutofautisha majukumu na mipaka ya kiutendaji baina ya chama na serikali ila Kinana et al wanaturejesha nyuma.
 

Forum statistics

Threads 1,389,587
Members 527,969
Posts 34,028,901
Top