Baada ya mashambulizi kutoka kwa Dk.Kitila Mkumbo Kama alivyoandika wiki Jana katika makala yake Raia Mwema, Mangula katika Gazeti la Raia Mwema Leo anatoa mfano ya kuwa kuwang'oa watoa rushwa za...
USAFI wa roho, mwili na kiakili aliouonyesha wazi, Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta, alipofanya mahojiano kwenye kipindi kimoja kinachorushwa na kituo...
Ndiyo wakuu, heshima kwenu!
Jana jiji la Mwanza na viunga vyake limezidi kujidhihirisha kuwa bado ni ngome ya CHADEMA baada ya umati mkubwa kuhudhuria mkutano wa cdm ulio ongozwa na Makamanda...
Taarifa za ndani kutoka katika mtandao wa mbunge Lameck Airo wa jimbo la Rorya zinasema kuwa mbunge huyo ameanza kumwandaa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya Ochelle Obuto ili arithi...
Malengo na Madhumuni ya CCM yatakuwa yafuatayo:-
1) Kushinda katika Uchaguzi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa Tanzania Bara na Zanzibar ili kuunda na kushika Serikali Kuu na Serikali za Mitaa...
Wednesday, November 28, 2012Hivyo basi, baada ya kukiacha CCJ kife, viongozi kutoka mikoa 14 Tanzania Bara na Visiwani walikutana Dar es Salaam, Julai 20, 2010, kukubaliana juu ya uanzishwaji wa...
Wednesday, November 28, 2012
Picha ya juu na chini Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, akisalimiana na Walimu wa Chuo cha Elimu Chukwani, alipowasili katika Chuo...
- CCM Taifa finally, we are on the right track, the right message, the right people, and the right resolutions: toka Mkutano Mkuu wetu wa Nane majuzi Dodoma, tumefanikiwa kuondoa hoja zote za...
MBUNGE wa Rombo Joseph Selasini (CHADEMA), amewatupia lawama baadhi ya madiwani kwa kukagua na kupitisha miradi ya maendeleo ambayo haijakidhi vigezo. Alisema hatua hiyo, inasababishia hasara...
JOHN MNYIKA - Mbunge wa Wananchi wa Ubungo.
Shime tujitokeze kutoa maoni yetu kupata Katiba Mpya
Rejeeni mikutano ya hadhara na vikao mbalimbali ndani ya jimbo letu la Ubungo katika kata...
Nguvu ya Edward Lowassa kisiasa ilidhihirika katika ziara ya Katibu Mkuu mpya wa CCM Abdulrahman Kinana na ujumbe wake mkoani Arusha. Kila walipofika, Lowassa alishangiliwa sana.
Kali ilikuwa...
Wana Jf
Leo nilikua Wizara ya Kilimo na Chakula Idara ya Uhasibu katika mambo ya ambayo nimesikitika ni uzembe na Ufisadi wa waziri huyu akiwa katika serekali ya Awamu ya Nne .
Wazira wasira...
Wana Jf napenda kutowa hoja hii kuwa DK.slaa ni katibu mkuu bora kuliko makatbu wakuu wote wa vyama vya siasa nchi tanzania. tathimini hii nimeifanya mimi mwenyewe kutokana na namna anavyo fanya...
Tarehe 6 Novemba 2012 kupitia https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/349724-mnyika-watchout-maji-ubungo-yatakuondoa.html nilimshukia Waziri Kabaka kwa kushindwa kuwasilisha bungeni mikataba...
Shilingi bilioni 86 zaibwa Wizara ya Nishati/TANESCO, Gridi ya Taifa hatarini
Gazeti la The East African la Novemba 24 – 30, 2012 limetoa taarifa kwamba jumla ya dola za kimarekani...
Wananchi wa eneo la Ulongoni A - Ukonga/Gongo la mboto hatuna barabara kabisa,yaani mvua ikinyeesha ni balaa tupu.Kipande cha hiyo barabara ile inayounga na daraja la msimbazi ni kidogo sana na...
Na B. OLE,
Baada ya kufuatilia kwa makini maoni na ya tume ya katiba inayoongozwa na Jaji Warioba kuhusu mchakato wa katiba mpya inayotegemewa ifikapo hapo mwaka 2014 ,nimepatwa na wasi wasi juu...
Nguzo kuu ya taifa lolote duniani ni watu, na wao ndio wanaopaswa kutoa maamuzi ya mwisho kuhusiana na maswala yanayohusu taifa lao. ni taratibu nzuri kwa watu kuchagua wawakilishi wanaoamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.