Malawi watoa cartoon ya baada ya Tanzania kutoa ramani mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi watoa cartoon ya baada ya Tanzania kutoa ramani mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Sep 24, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,163
  Likes Received: 1,098
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  halafu kule nyuma ya JK kichakani kuna wanajeshi,halafu JK mwenyewe kama kashika bastola,ndo mana mmama haamini,halafu angalia kuna helikopta kwa chini yake wameandika "smile",ina maana jamaa mpaka wanafaham smile ya JK?
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  anaye sema no war si unaona kavaa magwanda na pisto mkononi. kwanyuma kuna kifaru cha mzinga kwenye kichaka. mia
   
 4. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  Mbona kama Mkono wa JK unakoelekea sipo....na jamaa kaandika ..I can prophesise ...
   
 5. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Naona tanzania wamepewa uhusika wa kiume katika hiyo picha, ukiacha kuwa na na rais wa jinsia ya kiume, does this means jamaa wanatuogopa kama wanaume?
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  wale hawana kitu cha maana sema tu watz hatutaki vita ila wale inafaa mnawapiga kwao kama USA afanyavyo
   
 7. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  No negotiation with Malawi, half-half, ndivyo ilivyo na itakavyo kuwa, ni kuwachapa viboko, hata kimalawi kitusumbue..... aibu....pigaaa
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Wamalawi wanajua udhaifu wa JK hauaminiki.Yeyote mwenye kichwa cha EL anaweza badili upepo..na tayari wavuvi kule ni wanajeshi wa JWTZ.Si unajua km wachawi vile mchana wanakuomba msamaha na kukupa heshima usiku wanakutisha haswa kama una roho nyepesi unasepa.

  Wanahisi kuwa kuna wengine wenye mamlaka na wabaya zaidi, na JK ni mtu wa kutumia kuwatuliza walioko nyuma yake.Wanahisi watanzania wanataka aminisha jumuia ya kimataifa kuwa malawi ndio wanataka vita,huku wao tayari wapo ndani aya malawi wanasubiri mcehzo uwe rasmi.

  Hizo ndizo secrets za ninja. Wao huwa wanapanga mbinu za kwenda tibua mipango kabla ya vita, kupeleleza au hata kwenda watisha viongozi wakubwa wa upande wa maadui. Hii mara nyingine huondoa uwezekano wa Vita.Watu walimponda EL ila alifanya kilicho bora,wengine wakapiga mkwara wa uongo kuwa hawapo naye huku wakiacha mashaka kwa wamalawi.

  Ktik umri wetu wa utoto tulishwahi ponea bahati kufanyiziwa ama hata kuuwawa kijiji cha jirani maarufu kwa kutoa wezi na majambazi na vilevi vyote haramu vya jadi, kundi la vijana na watoto walevi walitubana jioni kali tukitokea katik mechi ambayo tulishinda na kuwaudhi hawa jamaa, jamaa mmoja mwenye sauti kali na macho makubwa alichana shati kwa mkwara akruka juu akasema anakula nyama ya mtu, alimpiga mmbabe wao kicha cha kuvizia jama kaenda chini alipota endelea tukamshika si kwa vile tulikuwa tunamzuia aiue kweli ila tulijua alikuwa akituweka katk hatari, kwani yule jamaa pamoja na kuwa na monekano wa kibabe alikuwa kipigwa hata na wasichana class.Luckily yule mpinzani aliotewa vibaya na aliposimama aliongea lugha ya maridhiano,basi akina sisi tukaanza sikia harufu ya amani tukakubali proposal kuwa amani iwepo na tuende zetu kwani si sisi tuliokuwa tukitafutwa.

  Psychological wara imewachanganya wapiga kura na taratibu wansiasa wataanza pata shinikizo kuachana na huo mpango.Wamalawi wanadhani wabongo wote ni waislam na wakorofi kama wasomali.

  Kuweza mpatia adui hofu kuu na sababu ya kuachana na vita bila kutumia lugha ya moja kwa moja inayoweza mshawishi kulinda sifa.Ni rahisi kuzuia umwajikaji wa damu. Ninja ni taaluma iliyofanya kazi vizuri sana. Yaani mfalem mbabe na mwenye kila nguvu, akiondoka kataka mazungumzo huku kaweka deadline ,akimaka asubuhi yake akakuta ktk kasiri yake ni yeye tuu aliyepona kuchinjwa pengine na wachache wengine,ila askari mlangoni hawajui kilichotokea. Huwa kesho yake hutangaza hakuna vita na sababu kasamehe, ili afundishe watu kupendana.
   
 9. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Washaona ni usanii tu ndiyo maana wanakejeli!
   
 10. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Subiri tuanze kuuza gas 2016 ndo watajua kuwa sisi ni nani! If we react now things might turn bad as long as the chemistry Malawians have in mind is not known yet. Let us analyse the elements making this compound, possibly Americans and the UK are their.
   
 11. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Subiri tuanze kuuza gas 2016 ndo watajua kuwa sisi ni nani! If we react now things might turn bad as long as the chemistry Malawians have in mind is not known yet. Let us analyse the elements making this compound, possibly Americans and the UK are there.
   
 12. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  wanakumbuka pia udhaifu wa mama yao mbele ya malkia wa wales.mama aliwahi inama.sasa hapa wanaona kama kila kitu atakuwa kaisema ameni.Na si aunajua wale jamaa wa wananchi wapo busy sana kule sasa hivi.wamalawi wanajua hilo.wanajificha kw amiaka mingine kadhaaa ili waje piga ambush
   
 13. M

  M.L. Senior Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Undugu wetu na Malawi ni mkubwa mno hata kuliko undugu wetu na Zanzibari. Zanzibar-Pemba wao wako karibu kiundugu na wakenya. No war between brothers and sisters of same clan
   
 14. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,771
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Kuna CHIPAZUA (neno kutoka lugha ya Chichewa inayotumika Malawi) wangu huko Malawi nendeni taratibu ninyi mlioko vichakani nyuma ya mkuu.
   
 15. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Its not right kusema Malawi wametoa cartoon. Hii cartoon imechorwa na msanii ambaye siyo lazima awe anareprepresent mawazo ya majority ya wamalawi. Kujudge wamalawi based on this cartoon ni sawa na wale wanaoishambulia Marekani kwa sababu ya kazi ya msanii anayejitegemea wa Marekani.
   
 16. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,557
  Trophy Points: 280
  Kwenye hiyo picha JK ana pande mbili pia,nusu amevaa kijeshi na nusu Kiraia.Hawa jamaa wanamdhihaki Rais wao!
   
 17. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa Cartoon hiyo inamaana RAIS WA TZ ANAONEKANA KAMA MWOGA FLANI EEH?
   
 18. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yanga, Joyce Banda kachapa MSIMBAZI!
   
 19. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mkuu ile kwenye helkopta ni "smile" kama zile zilizolipuka mbagala na gongolamboto!
   
 20. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wamarekani wapo nyuma yetu, msiogope! Mbona tulipoenda Comoro walitusaidia kwenye logistics na tukafanikiwa kuuza sura!

  Sema Mwingereza hayuko tayari kupiganishwa na Mmarekani maana yake Tanzania kupigana na Malawi ni sawa na Marekani kupigana na Uingereza respectively
   
Loading...