mikataba mipya na haswa ya madini,mafuta na geasi iridhiwe na Bunge na sii baraza la mawaziri.Pamoja na mikataba yote mibovu ipelekwe bungeni na kujadiliwa upya na kuwawajibisha wale wote...
Bwana Jela(CCM)alitangazwa mshindi. Huyu ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa Kitongoji cha Magadirisho kwa miaka mitatu iliyopita.
Siri kubwa yafichuka kwa ushindi wa CCM Magadirisho katika nafasi ya...
MBUNGE wa Ubungo (Chadema), John Mnyika amesema ukiukwaji wa sheria wa matumizi ya Sh96 bilioni katika ununuzi wa mafuta mazito ya uendeshaji wa mitambo ya kufua umeme wa dharura ni matokeo ya...
kijamii kama za afya(mawasiliano mazuri) picha na Dinna Maningo
Na Fredy Azzah
Posted Alhamisi,Novemba22 2012 saa 8:28 AM
Kwa ufupi
"Katiba ikubali kuwa waumini wachinje wanyama wao...
Mhadhiri Mwandamizi wa UDSM, Dr. Kitila Mkumbo jana alimpa wakati mgumu Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki.
Hiyo ilikuwa ni katika wakati wa maswali kwa Mbeki baada ya hotuba yake...
Nakubaliana na maudhui yaliyopo kwenye Makala ya Maggid Mjengwa ya kichwa kisemacho CCM NA NJIA YA KINANA iliyokuwa posted kwenye JAMII FORUMS ikitokea kwenye Gazeti la RAIA MWEMA. Uchambuzi wa...
VIONGOZI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, jana walifanyiwa vurugu na baadhi ya wakazi wa mji wa Babati, mkoani Manyara, kutokana na matumizi ya eneo la uwanja. Hali hiyo ilijitokeza juzi baada ya...
Wafuatao ni makada wa CCM ambao wameonja joto ya jiwe ya kuzomewa na wanainchi katika mikutano ya hadhara wanayoiitisha kufikia leo saa nane mchana ni hawa hapa
Mh. Chacha Maliam Nyang`wine -...
Kadiri siku zinavyosonga kukaribia uchaguzi mkuu 2015 ndivyo watu wanavyojadili vyama na watu binafsi na kuacha mambo ya msingi.
Nafikiri tungejikita kujadili ni sifa zipi mgombea awe nazo...
Watanzania Na Wazanzibar kwa ujumla tunashindwa kujielewa.
Matatizo ya nchi ambayo inakabiliwa hasa katika suala la utumiaji wa madaraka vibaya pamoja na utumiaji wa rasilimali za umma kutumiwa...
minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe
By Mkinga Mkinga
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzania is currently finalising a joint letter and terms of...
Kwa anae elewa kuhusu chama cha mapinduzi (ccm).naomba anijuze kwa mtizamo wangu naona hicho chama hakituhusu watanganyika ni chama cha wazanzibar.kwa sababu wao ndio waliyo fanya mapinduzi na...
Kampuni ya Persisten Energy Partners imezinduliwa leo uku ukweli ukiwa umejificha nyuma ya Pazia ni Kampuni Mama ya E+Co ya Marekani iliyofilisika na kuja kuanzishwa upya Apakwetu Tanzania...
Inatia huruma ninaposoma watani zangu wanapoamua kujifariji kwa kutunga wenyewe uzushi na kuuamini kuwa uzushi waliotunga wenyewe ni sahihi.
Wamefanana na timu inayojisifu kuwa eti pamoja na...
Taifa hili ni kama mti ambao unatakiwa uanze ukiwa mdogo kutokana na mbegu iliyopandwa na kukua kisha kutoa matawi ambayo yataleta matunda. Ni muhimu watu wa Taifa hili kufahamu Taifa hili sio...
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) kambi ya Mwalukoma iliyoko katika kijiji cha Bulamba, wilayani Bunda kwa kushirikiana na halmashauri ya Wilaya ya Bunda, wataanza kuwasaka wavuvi haramu, pamoja na...
KWAKUA Edward Ngoyai Lowasa ameonyesha UCHU MKUBWA wa kwenda Magogoni kwa kutumia kila mbinu ziwe safi au chafu licha ya kwamba mwaka 1995 Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alimkataa kutokana na...
MAADILI ya uongozi ni mwenendo au tabia njema inayokubalika na jamii katika kazi ya kuongoza. Kwa kuwa uongozi ni kazi ya kuwaelekeza watu kwenye kujiletea maendeleo yao kwa utashi wa uhuru, haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.