Katika hali inayoonesha kuwa ni ama watu kuchoka kabisa ama ni zama za mwisho za chama kijani jana katika viwanja vya tarime mjini uwanja wa mpira CCM ikiwa na kikosi kizima cha kuaminiwa jimboni...
BY FATMA A. KARUME
As we were catching up with some local gossip on the telephone, the only sensible way to communicategiven Dar es Salaam's horrendous traffic congestion, a female friend of mine...
jioni ya leo mkutano uliotangazwa masaa mawali kabla kupima ni nini CCM walichofanya Arusha majibu ni CHADEMA itabaki kuwa ngome ya CHADEMA kwani watu ni wengi mmo wamejitokeza katika viwanja vya...
Wafuatao ni Watu wenye sifa na hadhi za Kimataifa za kuwa Marais wa nchi ya TANZANIA kulingana na muda:- 1.Dr.W.P.SLAA 2.F.A.MBOWE 3.Prof.A.SAFARI 4.S.A.ARFI 5.M.N.MARANDO 6.S.I.MOHAMED...
WanaJF, Heshima mbele wakuu!.
Hivi ni kwanini wanawake waliowengi wanaisaport Chadema kwa woga?
Nilianza kufatilia kuanzia uchaguzi mkuu wa mwaka 2010,baadae ikaja ule uchaguzi mdogo wa Igunga...
Saturday, November 24, 2012
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amekirushia kombora Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema hakina nguvu tena ya kuendelea kutawala. Kabwe alikwenda...
MCHAKATO wa kutoa maoni kwa ajili ya Katiba mpya mkoani Dar es Salaam, umeanza kwa kasi ya aina yake, baada ya jana suala la ugaidi kuibuka. Katika mkutano huo, waumini wa dini ya Kiislamu...
Mmoja wa wanamsafara wa Sekretarieti mpya ya CCM iliyo ziarani mikoani,amefunguka. Mwanamsafara huyo ambaye anatokea upande wa Zanzibar kuingia kwenye Sekretarieti,amesema kuwa sera ya kuzunguka...
Halmashauri Inayongozwa na Chadema yafanya Ufisadi Mkubwa Kigoma Ujiji
Wananchi wapata 250 waishio katika vijiji vya Kahabwa na Butunga kata ya Kibirizi katika Halmashauri ya Kigoma Ujiji...
Kwa muda mrefu sasa barabara za Mbezi Beach, tena eneo lote halipati matunzo yanayostahili eneo hili.
Barabara karibu zote ni mbovu kupundukia.
Ukiacha barabara mbili tu zilizojengwa zaidi ya...
Rais wangu wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania, tunakuomba tengua uwaziri wa Kagasheki mara moja kutokana na sababu zifuatazo:
1; Waziri Kagasheki amekiri mbele ya wananchi wa Bukoba kuwa...
Tuesday, November 27, 2012
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbaruok, akizungumza na Ujumbe wa Turkey ukiongozwa na Waziri wa Kilimo na Chakula wa Turkey Mchmet...
Tuesday, November 27, 2012
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampas ya Tunguu wakati wa ziara yake ya kutembelea...
wadau katika hii katiba mpya naona ni vyema iwapo ibara za 108(2) na 109(1)(8)(9)(10)(11)zikasawazishwa, kana kwamba, raisi asiwe wa kuchagua principle judges wala commitee ya majaji.....either...
Muungano watawala maoni (Tanganyika haionekani, iko wapi? Itoeni kwanza Tanganyika ndipo tuzungumze masuala ya Katiba na masuala ya Muungano, alisema SuleimanWritten by abdulwaheed //...
Jamani watanzania wenzangu.
Tangu Serikali ya awamu ya nne iingie madarakani shillingi imezidi kushuka thamani sambamba na mfumuko wa bei!
Swali la Kujiuliza, Rais wetu hana wachumi? Au hao...
Ukitazama kwa umakini alama zilizopo katika bendera ya CCM utagundua kuna alama ya jembe na nyundo; jembe likiwakilisha wananchi wakulima na nyundo ikiwakilisha wafanyakazi. Hii ilikuwa na maana...
Tuesday, November 27, 2012KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema CCM watazunguka nchi nzima lakini majibu yatajulikana 2015 kwani ndiyo utakuwa mwisho wao.
Pia Dk Slaa amesema Chadema...
Hivi karibuni Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA alitangaza kuongeza ama kusogeza muda wa kufanyika kwa uchaguzi wa nafasi mbalimbali za chama ndani ya CHADEMA. Nilifuatilia kwa makini maoni ya wadau...
• PINDA ABAINI ATISHIA KUWATIMUA KAZI
Na Walter Mguluchuma, Mpanda
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewaagiza wakuu wa wilaya mpya zote nchini waishi kwenye maeneo ya makao makuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.