Ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Chukwani Zanzibar


A

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Messages
859
Likes
4
Points
0
A

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2010
859 4 0
[h=2]Wednesday, November 28, 2012[/h]

IMG_7771.JPG

Picha ya juu na chini Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, akisalimiana na Walimu wa Chuo cha Elimu Chukwani, alipowasili katika Chuo hicho akiwa katika ziara yake kutembelea Wizara ya Elimu na Taasisi zake.
IMG_7774.JPG


IMG_7776.JPG

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi, Kaimu Mkuu wa Chuo Hamed Hikmany, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Amali Zanzibar Mhe.Zahara Ali Hamad, Waziri wa Elimu Mhe.Ali Juma Shamuhuna, wakitembelea majengo ya Chuo hicho akiwa katika ziara .
IMG_7793.JPG

Picha juu na chini Meneja wa Kiwanda cha Uchapaji cha Chuo Kikuu Kishiri cha Elimu Chukwani Zanzibar Mr. Ameir Haji Ameir, akitowa maelezo ya utendaji wa kiwanda hicho cha uchapaji jinsi kinavyotoa huduma kwa Taasisi za Serekali za Binafsi.
IMG_7785.JPG


IMG_7807.JPG

Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani Zanzibar Dk. Hikmany.akitowa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi akitembelea Chuo hicho ikiwa ni ziara yake kutembelea sekta ya Elimu Zanzibar
IMG_7810.JPG

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani Antony Ocheing, akitowa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, alipofanya ziara kutembelea Chuo hicho Chukwani, akiwa katika ziara ya kutembelea Taasisi zilioko chini ya Wazara ya Elimu Zanzibar.
PICT3090.JPG

Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani Dk. Hamed Hikimany, akitowa maelezo ya Chuo hicho kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, wakati wa ziara yake kutembelea Chuo hicho kilioko Chukwani Zanzibar​


Imewekwa na MAPARA at 3:20 PM
 

Forum statistics

Threads 1,238,197
Members 475,856
Posts 29,312,527