• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

CCM Taifa: Finally we are on the right track!!

W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
- CCM Taifa finally, we are on the right track, the right message, the right people, and the right resolutions: toka Mkutano Mkuu wetu wa Nane majuzi Dodoma, tumefanikiwa kuondoa hoja zote za Wapinzani na wale mabingwa wa Makundi ndani ya CCM, sasa we need to maintain the steam mpaka 2014, itakapokuja the litimus test yaani Local elections!

- Kwenye local elections za majuzi pamoja na all the misery we had in CCM, lakini bado wananchi came out in a strong support for us CCM, sasa it is a high time CCM tukakaa chini na kutafakari tena how to move forward while maitaining the steam we have now, Wapinzani wapo shimoni sasa hivi hawana njia ya kutokea huko shimoni, we have burried them alive, CCM isafishe uchafu mdogo mdogo uliobaki ambao ni kero kubwa kwa wananchi, cha muhimu kuliko yote ni kuwasikiliza wananchi kwanza kama tulivyofanya majuzi huko Rukwa, Mawaziri wamezomewa mbele ya Viongozi wetu wakuu wa Taifa, saafi saana dawa ni kukaa chini na kuwapa onyo na ikibidi kuwapumzisha wote waliozomewa, tuwachane na siasa za kujuana na majina cause zinawakera wanachi, wanaokosea waondolewe haraka bila aibu!!

- Wapinzani hawana nguvu tena they once had, ambayo ilikuwa ni makosa yetu wenyewe CCM si kweli kwamba Wapinzani walikuwa strong, nah! ni mifarakano ya sisi CCM wenyewe kwa wenyewe ndio ilikuwa inawapa kifua lakini sasa hawana nguvu tena, huwezi kushinda Taifa kama huwezi kushinda Udiwani tu! ni Simply kwamba hukubaliki na wananchi kwenye local politics so huwezi kukubalika hata kwenye Taifa!!, viongozi wa CCM waendelee na hizi ziara na baadaye watuambie kwa kirefu Faida ya kila safari sio kupoteza pesa tu za chama, CCM tulilie uwajibikaji kwanza na tuwachane na vita vya makundi, tatizo sio vita honestly ni zile grudging baada ya uchaguzi kuisha so tujifunze kwamba kundi moja haliwezi kutawala peke yake ndio maana Mangula amerudi, uchaguzi ukiisha tujifunze kuwa inclussive kama Obama alivyompa Mpinzani wake mkubwa Mama Clinton na hata kumlipia madeni yake baada ya Vita yao kuisha!! tujifunze pia na sisi bongo siasa za ukomavu na kuweka taifa mbele!!

- HONGERA CCM, WE ARE ON THE RIGHT TRACK, SIASA ZA URAIS WA 2015 KAMA ZIKIFIKA MAHALI ZIKAANZA KUTUHARIBIA UMOJA WETU WAHUSIKA WOTE WAFUKUZWE CHAMA MARA MOJA WAKAANIZSHE CHAMA CHAO CHA KUGOMBEA URAIS 2015, WAPINZANI SASA HAWANA NGUVU WALA HOJA, UMEONA WANVYOHANGAIKA MARA OOHH CCM TUNAWAIGA, MARA OOOH TUNAFUATA SERA ZAO YAANI HOJA MFU NA SELF-DESTRUCTIVE BILA WENYEWE KUJUA MAANA KAMA CCM INAFUATA SREA ZENU BASI NI VYEMA MKAENDELEA KUWA WAPINZANI KUSUDI MUISAIDIE CCM!

- KIDUMU CCM!! KIDUMU CHAMA TAWALA!! KIDUMU CHAMA CHA DUME LA MBEGU!!

MUCH RESPECT PEOPLE!!

Le Mutuz
 
KOMBAJR

KOMBAJR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Messages
5,833
Points
1,195
KOMBAJR

KOMBAJR

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2011
5,833 1,195
wait n see time will tell.
 
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Messages
3,728
Points
1,225
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2010
3,728 1,225
Mko kwenye right track kumaliza tembo wetu. Kwenye EPA mmeshtukiwa, meno ya tembo yamekamatwa sijui mtaiba wapi uchaguzi ujao.
 
only83

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
5,343
Points
2,000
only83

only83

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
5,343 2,000
Ha ha ha ha ha ha ha h...Kumbe wewe jamaa upo? Baada ya kuikimbia JF sasa leo umeibuka na hoja kamasi kwa mara nyingine. Kwanza nakupa pole kwa kugaragazwa kwenye chaguzi zote za chama chenu, na ule unene wako ulikuwa unatia huruma kama, mbuzi aliyekosa malisho. Mimi siwezi changia hoja yako hii, na hata kuisoma nimeisoma mistari mitatu nikagundua kuwa ni makamasi na haifai kukaa JF. Hoja ni nyepesi na haionekani kama inatoka kwa kibabu cha miaka 54. Poor analysis, na imekaa kichama na kishabiki zaidi. Nashauri wachangiaji tuchangie kwanini huju JAMAA ALIKIMBIA JF, NA SIO HII HOJA YAKE, MAANA HOJA YAKE NI NYEPESI KAMA KAMASI ZA MTOTO MCHANGA.
 
- ha! ha! ha! thaanks Great Thinker una maana ujumbe sent na umefika, that is all I could ask from Great Thinkers!! UBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI!!

Le Mutuz!!
 
T

Tabby

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Messages
10,245
Points
2,000
T

Tabby

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2008
10,245 2,000
Yeah, you are correct Sir. It is the right truck for your inevitable destiny. PERIOD!
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
At 50's bado unajita majina ya wanafunzi wa chekechea Bravo wana ccm kwa kumyima huyu jamaa ubunge wa africa mashariki
- Yaaap kama vile Lema "Jembe", na Wassira "Tyson" usiniambie na hawa ni chekechea kama mimi? au? ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
45,218
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
45,218 2,000
- CCM Taifa finally, we are on the right track, the right message, the right people, and the right resolutions: toka Mkutano Mkuu wetu wa Nane majuzi Dodoma, tumefanikiwa kuondoa hoja zote za Wapinzani na wale mabingwa wa Makundi ndani ya CCM, sasa we need to maintain the steam mpaka 2014, itakapokuja the litimus test yaani Local elections!

- Kwenye local elections za majuzi pamoja na all the misery we had in CCM, lakini bado wananchi came out in a strong support for us CCM, sasa it is a high time CCM tukakaa chini na kutafakari tena how to move forward while maitaining the steam we have now, Wapinzani wapo shimoni sasa hivi hawana njia ya kutokea huko shimoni, we have burried them alive, CCM isafishe uchafu mdogo mdogo uliobaki ambao ni kero kubwa kwa wananchi, cha muhimu kuliko yote ni kuwasikiliza wananchi kwanza kama tulivyofanya majuzi huko Rukwa, Mawaziri wamezomewa mbele ya Viongozi wetu wakuu wa Taifa, saafi saana dawa ni kukaa chini na kuwapa onyo na ikibidi kuwapumzisha wote waliozomewa, tuwachane na siasa za kujuana na majina cause zinawakera wanachi, wanaokosea waondolewe haraka bila aibu!!
unasema kikao cha juzi mmemaliza na mko kwenye track nzuri, sasa vipi tena unasema inabidi tena mkae mjadili namna zingine?
Kwani hamkuyamaliza kwenye hicho kikao kikubwa??

Kuhusu swala la kuwa na right people ninaliafiki kabisa, sekretarieti mpya ni sahihi kabisa kwa ccm kuanzia kinana ambaye habari yake ya pembe za ndovu hata mtoto mdogo anafahamu(mashine za mt meru alizoiba, ushirikiano wake na alshabaab n.k), mama mkwe zakia meghi na issue ya kukingia kifua kagoda na EPA anatambulika vema, Mangula na issue ya pesa za EPA zilivyovutwa kwenye kampeni ccm anaeleweka vyema.

Hakika CCM imejiwekea ile sura sahihi ambayo inatakiwa kuonekana mbele ya wapiga kura.
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
unasema kikao cha juzi mmemaliza na mko kwenye track nzuri, sasa vipi tena unasema inabidi tena mkae mjadili namna zingine?
Kwani hamkuyamaliza kwenye hicho kikao kikubwa??

Kuhusu swala la kuwa na right people ninaliafiki kabisa, sekretarieti mpya ni sahihi kabisa kwa ccm kuanzia kinana ambaye habari yake ya pembe za ndovu hata mtoto mdogo anafahamu(mashine za mt meru alizoiba, ushirikiano wake na alshabaab n.k), mama mkwe zakia meghi na issue ya kukingia kifua kagoda na EPA anatambulika vema, Mangula na issue ya pesa za EPA zilivyovutwa kwenye kampeni ccm anaeleweka vyema.
Hakika CCM imejiwekea ile sura sahihi ambayo inatakiwa kuonekana mbele ya wapiga kura.
- Well, maana yake ni kwamba message sent and received kama nilivyoituma, umeisoma na umeielewa, thaanks one page yaani tupo ukurasa mmoja bro!

Le Mutuz!1
 
only83

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
5,343
Points
2,000
only83

only83

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
5,343 2,000
Tujibu, kwanini ulikimbia JF? ukaenda FB, Tanuru la Fikra kuanza kuweka mawazo yako finyu kule? ulikimbia hapa kwasababu ya uwezo wako mdogo. Cha ajabu nikadhani kwa muda mrefu uliokaa nje ya JF utakuwa umejifunza namna ya kushusha hoja, kumbe ndio umekuwa dhaifu kama bosi wenu.
 
LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Messages
1,640
Points
0
LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2011
1,640 0
Angalia tu usichukue nafasi ya Mh. Nape. Huku ni kutoa taarifa ya chama. Halafu maneno mengi pointi nyepesi sana, ukiwa umechanganya kiswahili na kiingereza. Wewe ndo unayejiita kiongozi wa kitaifa wa chama changu, hakuna kitu hapo.
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Tujibu, kwanini ulikimbia JF? ukaenda FB, Tanuru la Fikra kuanza kuweka mawazo yako finyu kule? ulikimbia hapa kwasababu ya uwezo wako mdogo. Cha ajabu nikadhani kwa muda mrefu uliokaa nje ya JF utakuwa umejifunza namna ya kushusha hoja, kumbe ndio umekuwa dhaifu kama bosi wenu.
- Mimi huniwezi so jaribu kusema hoja bro, unacheza na The King Of All bongo Social Media Network, leo Jumapili nimetoka kwenye msiba sasa hivi, so leo sitaki kuingia kwenye personal attacks l;abda kesho, kwa leo please hoja tu! ha! ha! ha!

Usipopevuka JF basi kwingine utapofuka tu.Sasa kama alikimbia JF, alipotea kabisa kwani huko kwingine ni komments za "umependezea" ambazo hazina maana.
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Points
2,000
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Verified Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 2,000
Angalia tu usichukue nafasi ya Mh. Nape. Huku ni kutoa taarifa ya chama. Halafu maneno mengi pointi nyepesi sana, ukiwa umechanganya kiswahili na kiingereza. Wewe ndo unayejiita kiongozi wa kitaifa wa chama changu, hakuna kitu hapo.
- Mh. Nape najua ni your nightmare so haendi kokote yupo sana, leo nimesema ni Jumapili will not attack anybody personally mpaka kesho, so ha! ha! ha! ha1

Le Mutuz!!
 
B

Babuyao

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2009
Messages
1,731
Points
1,225
B

Babuyao

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2009
1,731 1,225
Uchanganyaji wako wa kiingereza na kiswahili haufai. Wakati mwingine uandike kwa lugha moja: kiswahili au kiingereza. Wasomaji unatuchosha sana na huu uchanganyaji wa lugha mbili tena bila sababu ya msingi.
 
K

KIRUMO

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Messages
376
Points
195
K

KIRUMO

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2012
376 195
Ni vizuri kujitia moyo. Kwa nini kufa na presha? Naomba tu kwamba msije kutumia tena Polisi kufanya ugaidi wa kuzima M4C safari hii itakapokuja na kasi mpya. Tunashukuru kuwa hata viongozi wenu sasa wana fanya mikutano ya hadhara. M4C inakuja. Tunaomba tu fair play. Hapo utajua nani anakubalika zaidi. Watanzania hawajasahau shimo la umasikini na ugumu wa maisha ambao ccm imewatumbukiza. Sidhani kuwa wapo pamoja nanyi. Tatizo sio uongozi wa zamani. Ni mfumo mzima. Safari hii hamtoki!
 
LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Messages
1,640
Points
0
LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2011
1,640 0
- Mimi huniwezi so jaribu kusema hoja bro, unacheza na The King Of All bongo Social Media Network, leo Jumapili nimetoka kwenye msiba sasa hivi, so leo sitaki kuingia kwenye personal attacks l;abda kesho, kwa leo please hoja tu! ha! ha! ha!

Le Mutuz!1
Nani kakutangaza kuwa wewe ni The King Of All bongo Social Media Network? Kwa vigezo gani? Kuwa na IDs nyingi na post nyingi kwenye mitandao zisizokuwa na uzito hakuwezi kukufanya uwe the King. Chama cha Tanzanian Social Media Network lazima kikanushe hili mapema kwani unapotosha umma. Wewe ni Le Mutuz.
 
Mzalendo80

Mzalendo80

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Messages
2,508
Points
1,500
Mzalendo80

Mzalendo80

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2010
2,508 1,500
- ha! ha! ha! thaanks Great Thinker una maana ujumbe sent na umefika, that is all I could ask from Great Thinkers!! UBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI!!

Le Mutuz!!

Vipi bado unaishi kwa baba yako? kumbe kukaa kote nje bado hujastaarabika?
 
Forum statistics

Threads 1,405,656
Members 532,074
Posts 34,492,201
Top