Wajinga wanafikiri tunaposema CCM ipumzishwe kuongoza nchi yetu, tunasema hivyo kwa sababu za kijinga kama, kwamba:
1) Mwenyekiti wake ni ALHAJI JK, Makamu ZNB ni ALHAJI SHEIN, Katibu Mkuu ni...
Hii imenisikitisha sana kuona mtu mzima anafanya mambo
ya kuchakachua picha makusidi sijui ni kwa manufaa ya nani
Ombi kwa Michuzi na Nnauye Jr
1. Ili niweze kuamini Picha yenu leta picha...
Viongozi wa CCM wilaya ya Meru na wapambe wao wafukuzwa na Madereva pikipiki Usa-River leo.
Chama cha Mapinduzi Meru kimetakiwa na waendesha Pikipiki kuacha kuwasumbua vijana wa Chama Cha...
Ndugu zangu tumelalamika sana juu ya mustakabali wa maisha yetu sisi watanzania hasa sisiwenye kipato kidogo, tumelalamika kwa zaidi ya mika 15 juu ya
1. Kuuzwa kwa viwanda vyetu nchi nzima, na...
Wana JF ninawaombeni tusaidiane kujadili jinsi ya kufanya katika uchaguzi wa mwaka 2015 ambao unakaribia angalau wizi wa kura kama siyo kwisha kabisa uweze angalau kuwa kidogo maana inavyoelekea...
Hayati Mwl.JK Nyerere alipata kuyasema haya kwa nyakati tofauti, tena kwa msisitizo'Ndani ya CCM imara Rais hawezi kutoka nje ya CCM, na Ndani ya CCM dhaifu Rais ni lazima atoke nje ya CCM...
Nimeamini Ukweli ukidhihiri Uongo Ujitenga, Leo asubuhi katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC Mhe. Anton Kom Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema ambaye pia ni Mjumbe wa TCD...
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na...
1. Mjumbe wa CCM miaka 25
2. Kuachana Kweka na siasa hakutakuwa na madhara kwa chama chake, kwani CCM ina hazina kubwa ya viongozi ambao wana sifa na wanaweza kuongoza chama hicho kuelekea...
http://1.bp.blogspot.com/-tg-SMJ670Do/ULEy3aqjMZI/AAAAAAAAA5Q/WKIWhdBzx7A/s320/John+Mnyika+akiaga+mwili+wa+Marehemu+Ongara.jpg
Na Mwandishi Wetu
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika ametoa...
Nikiwa kama mtanzania ninayefikiri ninaamini kuwa hakuna aliyekamilika na wa kuaminiwa asilimia 100 zaidi ya Mungu peke yake. Mengi aliyosema mzee wetu mpendwa hayati baba wa taifa yanatufaa na...
Muungano watawala maoni (Tanganyika haionekani, iko wapi? Itoeni kwanza Tanganyika ndipo tuzungumze masuala ya Katiba na masuala ya Muungano, alisema Suleiman
Written by abdulwaheed //...
SURA YA KWANZA
Tanzaniani nchi yetu sote tuliozaliwa humu (wazawa) pamoja na waliojiandikisha kuwaraia. Sisi sote kwa mchanganuo huo tunalo jukumu la kuiendeleza na kuilindanchi yetu kupitia...
Habari waungwana?, jamani mimi nina nia ya kugombea ubunge jimbo la Ismani ili kuleta ukombozi kwa wanajimbo wenzangu. Kiufupi mimi ni mzaliwa na mkazi wa Pawaga,nkiumri nina miaka 29 na elimu ya...
SIKU moja baada ya Waziri Kivuli wa Fedha, Zitto Kabwe, kuibana serikali akiitaka ifafanue juu ya upotevu wa sh bilioni 86 za kununulia mafuta ya kuendeshea mitambo ya umeme, Waziri wa...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, ambayepia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki (CCM), ameapa kuwa hayuko tayari kusutwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, kutokanana...
Baada ya Naibu Waziri Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Aggrey Mwanri, kuagiza waliohusika na upotevu wa sh. milioni 16.6, za Halmashauri ya Kijiji cha Katoro mkoani Geita...
wakuu leo nimesikia kichwa cha habari cha gazeti moja hapa nchini likiwa na habari ya kuwa tume ya uchguzi iko taaban kifedha katika kuboresha daftari la wapiga kula kwa ajili ya uchaguzi wa 2015...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 26/11/2012 // Habari // 3 Comments
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Borafya Silima Juma amewataka wanachama wa chama hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.