Sasa hivi Chama tawala kina siasa ya kujihami, deni la taifa limeongezeka..
Maisha ya watanzania yanazidi kuwa duni
Kipato cha mtanzania kinapungua na mfumuko wa bei umeongezeka
Afya inazidi...
CCM inafanya kila inalo wezekana kurudisha majimbo haya mawili Nyamagana na Arusha mjini, je CHADEMA wana mikakati gani sababu CCM imeshaanza mikakati yao.Sasa wanapita sehemu nyingi tu wanatoa...
The Malawi Defence Force (MDF) Commander General Henry Odilo has now two deputies, Nyasa Times understands.
This comes after government appointed Major General John Msonthi as deputy army...
TAARIFA KWA UMMA
Sekretarieti ya jimbo la Segerea inawataarifu viongozi wote wa kata,wanachama na wapenda mabadiliko kwamba,katika kufuatilia utekelezaji wa shughuli za kila siku za...
a
KITAIFA
SHARE
Na Diana Maningo
Posted Jumatano,Novemba28 2012 saa 10:11 AM
KWA UFUPI
Kama imefikia hatua mbunge ambaye ni mwakilishi wa wananchi tena wa chama tawala akitaka...
Ni kigezo gani kinatumika kumlipa mbunge ambae kimsingi sifa yake ya kwanza ni kujua kusoma na kuandika, lakini mshahara na stahiki nyingine ni m 11 kwa mwezi, na wakati huo huo wanalipa...
EU yaongeza masharti ya misaada kwa Tanzania
JUMUIYA ya Ulaya (EU), imeongeza masharti kwa Serikali ya Tanzania ili iweze kupatiwa msaada wa Bajeti kwa mwaka ujao wa fedha 2013/14.
Kwa mujibu...
Naliona hili CCM wamelifanya mtaji:-
Uteuzi wa mgombea uraisi kwa tiketi ya CDM imekuwa ni ajenda kubwa kwa ccm na pia wameweza hata kuipenyeza kwa wanaCDM na kuwatumia bila wao kujijua lengo...
wakati wa uchaguzi, ni vema wagombea tukawapima uwezo wao wa kutatua matatizo kama vile ukosefu wa ajira,mfumuko wa bei, ufisadi n.k. Iwe inaandaliwa midaharo na wawe wanapambanishwa kwenye...
Ameanika ufisadi huo katika mkutano wa hadhara aliofanya sokoni tengeru jijini arusha leo. Amesema madiwani hao wa CCM wamekataa mpango wake wa kujenga stendi ya kimataifa hapo tengeru badala yake...
http://youtu.be/GjRe-iioKPY
Goma, Democratic Republic of Congo - M23 rebels have held their official handover ceremony marking the end of the occupation of Goma in the eastern Democratic...
Why do we choose to have a government?
-To prevent war
-To prevent chaos
-To secure our riches (properties, resources, culture etc)
-To create law and order
-To assure our security etc...
Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.
CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu...
The Malawi Defence Force (MDF) "is ready to protect citizens and the interests of the country," the Army Commander General Henry Odillo told The Sunday Times in an exclusive interview.
Odillo...
baada ya mwenyekiti wa vijana taifa ndugu john heche pamoja kamanda kaswahili kuunguruma BUCHOSA mwaloni kata ya kitwe na kijiji cha kitwe kama inavyooneka mbunge wa hapa ndugu charles Tizeba...
Kama kunamwandishi aliyeandika makala nyingi za kumshauri Rais Kikwete ni mzee Mayenga,
Nikwasababu hiyo nilipomwona moyo wangu ukanipigia yowe ukisema nenda hata msalimie mzalendo huyu.
Nami...
Mgodi wa Dhahabu wa Geita umejibu tuhuma mbalimbali zilizotolewa na CCM
Mnamo Tarehe 23 Novemba 2012, wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), akiwemo Naibu Waziri wa Nishati na Madini Bw. Steven...
UKIUKWAJI WA DEMOKRASIA WAFANYIKA IRAMBA MASHARIKI.
Tukiwa katika mfumo wa vyama vingi bado kuna watu wana mawazo ya mfumo wa chama kimoja. Amani tuliyonayo ni lulu bado kuna watu wanaichezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.