CCM na sera za kujivua gamba na kutokuitwa waheshimiwa viongozi wa chama hicho

Songoro

JF-Expert Member
May 27, 2009
4,124
0
Ww habari za CCM zinakuhusu nini? endelea 'kutunisha' mfuko wa 'ukombozi', utaijuwa namba 2015 wenzio watakuwa bize na mitaji ya biashara wewe uko barabarani unaandamana kupinga matokeo ya Meya! Utajuwa kuwa samaki hakomolewi kwa kutupwa baharini!
 

Respect Sennetor

New Member
Nov 26, 2012
4
0
Mara nyingi sera kama hizo hazina maazimio ya wengi hivyo kupigiwa kelele jukwani ni ngumu kaibuka mtu m1 na kauli hiyo sasa mpaka augwe mkono na nec,, ila ya kujivua gamba nui dhahiri ccm wamechemka vibaya mno hawana uwezo wa kuwavua waliowakusudia maana nguvu zao ni za mamilioni ya watu na kwa kuwa ccm hawawezi kufanya maamuzi magumu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,642
2,000
Sera ya kupinga UHESHIMIWA nayo itashindwa..kweli jang.ili kinana anakuja na agizo laini ivyo ambalo halina mantiki..R.I.P CCM
 

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
559
0
Sera za kujivua gamba za ccm zimeishia wapi, mbona huko wanakozunguka hawazungumzii suala hili?Hawana jipya hawa watu,hizi zote ni single tu za kila siku,Nape alitoka na sinlge ya Kufukuza magamba ikavuma na mwishowe imezimika ghafla na hakuna aliyefukuzwa wala nini na sasahivi amekuja asiyependa kuitwa Mheshimiwa Kinana na dhana ya uheshimiwa na sijui baada ya huyu ataibuka nani tena na single tofauti. In short watu wanataka hoja zenye mashiko na zinazoleta tija kwa maisha yao ambao wengi wao wameshakata tamaa ya maisha bora kwa kila mtanzania kama ilivyoahidiwa na chama chetu tawala. Watu wameshachoka hizi nyimbo tu za kwenye majukwaa na vitisho kibao.!Kaa chonjo ccm!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom