USTAADHI
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 1,516
- 136
baada ya mwenyekiti wa vijana taifa ndugu john heche pamoja kamanda kaswahili kuunguruma BUCHOSA mwaloni kata ya kitwe na kijiji cha kitwe kama inavyooneka mbunge wa hapa ndugu charles Tizeba ameweweseka na kufika hatua ya kulaumu kutoa kila aina ya ujumbe kwa wapambe wake akihoji kama hali iko salama hapa na zaidi ya hapo kudiriki kusema anakerwa saana na siasa za aina ya maneno aliyoyaita ya uchochezi yanayotolewa na bwana HECHE "mimi namfahamu saana huyo bwana ambaye ni mwenyekiti wa vijana wao hao wa chadema hastahili kupewa nafasi ana maneno machafu na ni mchochezi kweli na huyo kaswahili wote hawafai kilidokeza chanzo cha habari kutoka ofisi ya katibu wa CCM wilaya hii ni kutokana na mh heche kufanya mkutano uliobeba mpaka wazee vikongwe kutoka CCM kama picha zinavyooneshaView attachment 73376mzee akirudisha kadiView attachment 73377akipokea ya cdmView attachment 73378View attachment 73379View attachment 73380 mzee akionesha kwa isharaView attachment 73381View attachment 73382