Msonthi [worked in Tanzania and USA] appointed as deputy commander (MDF) Malawi Defence Force

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
The Malawi Defence Force (MDF) Commander General Henry Odilo has now two deputies, Nyasa Times understands.

This comes after government appointed Major General John Msonthi as deputy army commander.

According to inside sources Msonthi will work hand in hand with Lieutenant General Clement Kafuwa who was appointed deputy army commander when General Odillo was made army chief.

The military sources also says Msonthi has been promoted to the rank of Lieutenant General .

"Msonthi will be responsible for operations while Kafuwa will head the administration. It's just a way of sharing the workload which the deputy has," said the source.


msonthi-e1351619255237.jpg

Major General John Msonthi

Msonthi has worked in embassies in Tanzania and USA as defence attachee. He was MDF's Director of Personnel before appointed deputy Army General.

This is the first time MDF to have two deputies. It comes after several appointments in the MDF.

According to our source there are now about five Major Generals in the army including Clement Namangale, McBeath Mkandawire and Spoon Phiri.

Odilo took over from General Mark Chiziko whose term of office expired. Chiziko is now heading Malawi's State Intelligence Agency.
 
naona wanajiandaa vita ya kuikabili Tanzania. Wakati sisi tunaendeleza majungu na kufungua barabara za kilometa 30 huku kasikazin wenzetu wanajiandaa vyema, subiri mtaona Watakavyo tukamua
 
Haya pasipo mashaka ni maandalizi ya kuikabili Tanzania vitani.
Ee Mungu muumba mbingu na nchi,katika jina la YESU tuepushe na machafuko ya aina yoyote,amen.
 
Hivi nyinyi mnaoongea ni kuwa hamfuatilii huu mtifuano wa chini kwa chini au? Hata mwezi haujapita toka JK achague maMajor Gen karibia nane wapya na Brig Generals thelathini na mbili I think,kwa mara ya kwanza kutokea hivyo, nyie mlidhani ni nini? Mapambo? Naona na MDF wanacounter nao
 
Ni kweli Tz tunahitaji kupigana vita?? Hali ya maisha ni tete, mambo yako scattered & shamble... Alright ngoja tuone tutakavyokula nyasi kiukweli...
 
Naona na MDF wanacounter nao
Kweli kabisa mkuu, nilipooana JK kamteua yule Mnyasa Ndomba, I said to myself nice move by JK unahitaji kujua lugha ya adui yako vitani

Na kama ulivyosema Wamalawi wamecounter. Huyo Msonthi atakuwa anaijua Tanzania na Kiswahili like the back of his hand
 
of course Ben Saanane, kumbuka kuwa sisi hivi majuzi tumepandisha watu wengi vyeo jeshini kiasi kwamba hekima ilikuwa inatuambia tu kuwa kuna major structuring ya military in case of a military confrontation. Ningetegemea na Malawi nao wafanye hivyo hivyo. La maana sasa ni kuangalia movement ya fedha.
 
Ni kweli Tz tunahitaji kupigana vita?? Hali ya maisha ni tete, mambo yako scattered & shamble... Alright ngoja tuone tutakavyokula nyasi kiukweli...

kwa upande mwingine tuko tayari kuliachia ziwa nyasa na badae mbeya japo tunamaisha magumu?
 
Kwa taarifa za ndani ni kuwa JWTZ sasa wako tayari kumpiga yule MAMA
Wanachosubiri ni AMRI toka kwa JK
Wengi wameingia ndani ya Malawi, na wapo huko miezi miwili sasa
Kwa hiyo sio kama TZ wamelala tu
 
Operation ya jeshi ni kimya kimya. Si kama polisi na ving'ori. So, respect iwepo. Sio kwamba wanakula kanga pori saivi.
 
Dada Joicy ndo kamteua huyu brazamen....daahh..!!Jamaa itakuwa anachapa yule Maza..trust me!!
 
Daily monitoring !! Ufatiliaji huu wa mambo yanavyokwenda huko ni muhimu, huku tukitafuta njia sahihi ya kumaliza tatizo tulilonalo bila kujifedhehesha.
 
Chiziko is now heading Malawi's State Intelligence Agency.
 
Ni kweli Tz tunahitaji kupigana vita?? Hali ya maisha ni tete, mambo yako scattered & shamble... Alright ngoja tuone tutakavyokula nyasi kiukweli...

Mkuu unadhani nchi zinapoamua kupigana huwa zinangoja hali zao ziwe nzuri kwanza? Mwizi akitaka kukuvamia huwa anakuuliza kwanza kama una malaria au la ili kama unayo asije kwa siku hiyo husika!?. Nchi kupigana is just a mater of cause and effect!
 
Back
Top Bottom